Chixi la lumumba FC buku sabaUkawa ilijengwa kushibisha matumbo ya watu
Sisi Wananchi hatujaona manufaa ya zaidi ya kuambiwa tuzungushe mikono mikono tu
Lakini wabunge wa upinzani waliongezeka. Hiyo ilikuwa faida ya UKAWA.Ukawa ilijengwa kushibisha matumbo ya watu
Sisi Wananchi hatujaona manufaa ya zaidi ya kuambiwa tuzungushe mikono mikono tu
Aliyekuzidi bhana mpaka ubuni mbinu za style yako ili ufaulu. Mbona kajamaa kameacha mpira kanataka kung'ata goti?[emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1262299
Ukawa ilijengwa kushibisha matumbo ya watu
Sisi Wananchi hatujaona manufaa ya zaidi ya kuambiwa tuzungushe mikono mikono tu
Kwahiyo mku unashauri wapinzani wasidai katiba mpya kisa nyongeza ya miaka 10? Kwani siitaisha unadhani inachelewaga? Lakini katiba itakuwa imepatikana hilo ndo jambo la muhimu.Nasema tunacheza kwenye sharubu za dicteta, yeye kabana anajua mtadai katiba mpya, na teye ataanza upya miaka kumi kwa katiba mpya, atakayo badilisha sentesi mbili, ombeni tume huru ya uchaguzi
😂 😂Chixi la lumumba FC buku saba
Naona wameanza kunisikia,wameunda kaji ka umoja fulani hivi ,lakini siju kama utadumu.Tanzania hamna upinzani, wamejaa wachumia tumbi tu, ukawa ilishia kusiko julikana kioindi kile.
Sheria ilio ruhusu vyama vingi walikosea sana, ilitakiwa viwe vyama viwili tuu apo ndo kidogo kungekuwepo na upinzani bongo