Natamani wanawake wa kiislamu waige mazuri ya Bi Khadija wa kwenye Hadithi za Mtu S.A.W

Natamani wanawake wa kiislamu waige mazuri ya Bi Khadija wa kwenye Hadithi za Mtu S.A.W

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

👇👇👇
Hakika ni vema mwezi huu wa mfungo wa ibada naomba ikawe neema na nuru ya ukombozi, wanawake wote wapendwa waislam maustafhati wote wafanye mazuri na wajaaliwe kama Bi Khadija.

Na kheri ikawe nanyi wote, binti zetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu, na Bibi xetu nyote.

Inshallah

Wadiz
 
Back
Top Bottom