changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Habari zenu, tumeshuhudia jinsi teknolojia ya magari yakibadilika kadri ya miaka inavyozidi kusonga. Magari ya zamani mtu alikuwa anaendesha utafikiri anapigana na mtu kiasi kwamba nguvu itumikayo inakuwa ni kubwa lakini hali imebadilika na magari ya hivi sasa watu hawatumii tena nguvu kama awali na pia kumekuja na magari ya kuwa ya automatic badala ya manual.
Hapa upande wa magari ya auto natamani waundaji wangefanya maboresho zaidi ili liweze kufanya yafuatayo;
1) Gari liwe na sehemu ya kuchagua spidi unayotaka kuendesha hivyo dereva anachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha spidi anayoitaka kisha gari lenyewe litafanya automatic acceleration au deceleration.
2) Gari liwe na camera ya long range mbele na nyuma ili kumuwezesha dereva kuona mita kumi au tano mbele yake au nyuma yake kuna nini.
3) Gari liwe na uwezo wa kufanya overtake automatically pindi dereva akibonyeza kitufe cha overtake. Hapa ni kwamba gari linatakiwa lisome spidi ya gari lililopo mbele linaloenda njia moja kisha isome gari linatoka upande wa pili kisha ifanye hesabu automatic kujua ni spidi gani ya kwenda nayo ili ku overtake tuchukulie mfano gari lipo barabara ya kwenda Morogoro na gar X inatoka dar kwenda Morogoro hivyo hivyo kwa gari Z lakini gari Y linnatoka Morogoro kuja Dar. Haya magari mawili yaendayo Moro yameongozana na gari Z anataka kumu overtake gari X na mbele kuna gari Y linakuja. Hapo inabidi gari linalo overtake liweze kusoma spidi za gari zote mbili X na Y na kisha ifanyike hesabu automatic.
Hivyo dereva akibonyeza kitufe cha overtake gari litabidi li overtake kama hesabu zimeruhusu. Ila kama hesabu hazirusu basi ioneshe alama ya [emoji3544] not allowed.