Natamani waundaji wa magari wafanye hivi

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Habari zenu, tumeshuhudia jinsi teknolojia ya magari yakibadilika kadri ya miaka inavyozidi kusonga. Magari ya zamani mtu alikuwa anaendesha utafikiri anapigana na mtu kiasi kwamba nguvu itumikayo inakuwa ni kubwa lakini hali imebadilika na magari ya hivi sasa watu hawatumii tena nguvu kama awali na pia kumekuja na magari ya kuwa ya automatic badala ya manual.

Hapa upande wa magari ya auto natamani waundaji wangefanya maboresho zaidi ili liweze kufanya yafuatayo;

1) Gari liwe na sehemu ya kuchagua spidi unayotaka kuendesha hivyo dereva anachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha spidi anayoitaka kisha gari lenyewe litafanya automatic acceleration au deceleration.

2) Gari liwe na camera ya long range mbele na nyuma ili kumuwezesha dereva kuona mita kumi au tano mbele yake au nyuma yake kuna nini.

3) Gari liwe na uwezo wa kufanya overtake automatically pindi dereva akibonyeza kitufe cha overtake. Hapa ni kwamba gari linatakiwa lisome spidi ya gari lililopo mbele linaloenda njia moja kisha isome gari linatoka upande wa pili kisha ifanye hesabu automatic kujua ni spidi gani ya kwenda nayo ili ku overtake tuchukulie mfano gari lipo barabara ya kwenda Morogoro na gar X inatoka dar kwenda Morogoro hivyo hivyo kwa gari Z lakini gari Y linnatoka Morogoro kuja Dar. Haya magari mawili yaendayo Moro yameongozana na gari Z anataka kumu overtake gari X na mbele kuna gari Y linakuja. Hapo inabidi gari linalo overtake liweze kusoma spidi za gari zote mbili X na Y na kisha ifanyike hesabu automatic.

Hivyo dereva akibonyeza kitufe cha overtake gari litabidi li overtake kama hesabu zimeruhusu. Ila kama hesabu hazirusu basi ioneshe alama ya [emoji3544] not allowed.
 
4. Gari iwe na Automatic Jack kwa kila Upande wa Gurudumu ifanyekazi pale tu gari inakuwa Parked, ili inapopata Pancha iwe ni kubofya kitufe ON na kunyanyua gududumu bovu tu na kupachika tairi then off jeki inarudi uvunguni kazi imeisha. Hizi mambo za Kupiga jeki na kulala Uvunguni mwa gari ni mambo za mwaka 1880s naonaga kero sana.
 
Habari zenu, tumeshuhudia jinsi teknolojia ya magari yakibadilika kadri ya miaka inavyozidi kusonga. Magari ya zamani mtu alikuwa anaendesha utafikiri anapigana na mtu kiasi kwamba nguvu itumikayo inakuwa ni kubwa lakini hali imebadilika na magari ya hivi sasa watu hawatumii tena nguvu kama awali na pia kumekuja na magari ya kuwa ya automatic badala ya manual.

Hapa upande wa magari ya auto natamani waundaji wangefanya maboresho zaidi ili liweze kufanya yafuatayo;

1) gari liwe na sehemu ya kuchagua spidi unayotaka kuendesha hivyo dereva anachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha spidi anayoitaka kisha gari lenyewe litafanya automatic acceleration au deceleration.

2) gari liwe na camera ya long range mbele na nyuma ili kumuwezesha dereva kuona mita kumi au tano mbele yake au nyuma yake kuna nini.

3) gari liwe na uwezo wa kufanya overtake automatically pindi dereva akibonyeza kitufe cha overtake. Hapa ni kwamba gari linatakiwa lisome spidi ya gari lililopo mbele linaloenda njia moja kisha isome gari linatoka upande wa pili kisha ifanye hesabu automatic kujua ni spidi gani ya kwenda nayo ili ku overtake tuchukulie mfano gari lipo barabara ya kwenda Morogoro na gar X inatoka dar kwenda Morogoro hivyo hivyo kwa gari Z lakini gari Y linnatoka Morogoro kuja Dar. Haya magari mawili yaendayo Moro yameongozana na gari Z anataka kumu overtake gari X na mbele kuna gari Y linakuja. Hapo inabidi gari linalo overtake liweze kusoma spidi za gari zote mbili X na Y na kisha ifanyike hesabu automatic.

Unatoa ushauri huu ukiwa Tokyo Japan au upo hapa hapa Temeke Sudan? Kuna kiwanda cha magari kwetu? Wapelekee ushauri wako kampuni za utengenezaji wa magari wafanyie kazi kama wataona kuna hoja. Vinginevyo uzi wako ni changamsha jamvi tu.

Kumbe hujui kama na. 1 tayari
ipo kwenye mfumo wa magari.
 
Toa ushauri kwa kampuni husika huko!! Humu hutasaidiwa Sheikh wangu. Wengi wetu humu tunamiliki baiskeli kwa sana!!
 
Kama kuna hadi malori yenye kubeba ma container bila kuwa na driver ndani unadhani mkuu kitu gani hapo bado?
IMG_20220329_110714_561.jpg
 
Kila ulichoandika hapo kipo au kinakuja ni vile sisi hapa Tanzania tunarumbana na kuzindua mradi wa maji au choo cha shule.

Kwa kuanzia tafuta movie inaitwa The detroit become human good ending nadhani utaelewa hapa tulipo na miaka 10 ijayo tutakuwa wapi.

Ni sisi tu ndiyo tupo hapa tunasubiri basi lije wakati wenzetu wamesha gonga passport na kuvuka boarder.
 
Binafsi sioni haja ya magari kuwa na speedometer ya zaidi ya 120 kwa nchi kama yetu yenye mavibao mengi ya 50 na matuta juu kila baada ya 10Km Highway.

speedometer-1.jpg
Hivi unaweza ku- decelerate from 260 to 50 baada ya kuona hicho kibao.

Kwanza sijawahi kukutana na gari mwendo unaoweza kukadiria liko 200 hata hayo ya misafara ya wakubwa yasiyojali zebra sijui kama yanafika 200.
 
4. Gari iwe na Automatic Jack kwa kila Upande wa Gurudumu ifanyekazi pale tu gari inakuwa Parked, ili inapopata Pancha iwe ni kubofya kitufe ON na kunyanyua gududumu bovu tu na kupachika tairi then off jeki inarudi uvunguni kazi imeisha. Hizi mambo za Kupiga jeki na kulala Uvunguni mwa gari ni mambo za mwaka 1880s naonaga kero sana.
Sahihi mkuu
 
Unatoa ushauri huu ukiwa Tokyo Japan au upo hapa hapa Temeke Sudan? Kuna kiwanda cha magari kwetu? Wapelekee ushauri wako kampuni za utengenezaji wa magari wafanyie kazi kama wataona kuna hoja. Vinginevyo uzi wako ni changamsha jamvi tu.

Kumbe hujui kama na. 1 tayari
ipo kwenye mfumo wa magari.
Kunywa maji mkuu uondoe stress. Unaumizwa kichwa na vitu ambavyo haviumizi kichwa.
 
Binafsi sioni haja ya magari kuwa na speedometer ya zaidi ya 120 kwa nchi kama yetu yenye mavibao mengi ya 50 na matuta juu kila baada ya 10Km Highway.

View attachment 2168062Hivi unaweza ku- decelerate from 260 to 50 baada ya kuona hicho kibao.

Kwanza sijawahi kukutana na gari mwendo unaoweza kukadiria liko 200 hata hayo ya misafara ya wakubwa yasiyojali zebra sijui kama yanafika 200.
Hilo linawezekana kwa sehemu zote zenye alama ya barabarani. Kwavile gari lina camera hivyo itakuwa inatambua alama za barabara kwa umbali na sio alama tu bali ita detect kona, bumps, magari mengineo, watu, milima, n.k hivyo yenyewe inapo detect hivyo vitu tokea gari ikiwa mbali itaanza ku decelerate yenyewe
 
Back
Top Bottom