Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa.
mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
Wazazi wanajua mengi. Maana unachokitaka hakikutaki 😁Yafaa tu uelekezwe ila sio wakutafutie, waambie umeona mtu nyumba fulani utapata ABC
Acha udomo zege,Wazazi wanajua mengi. Maana unachokitaka hakikutaki 😁
Nani domo Zege... unataka nikutongoze au? Nataka mke sitaki danga mimi nielewe.Acha udomo zege,
Mke unakuja kuishi naye wewe kiongozi, halafu uwe na adabu kwa kaka zakoNani domo Zege... unataka nikutongoze au? Nataka mke sitaki danga mimi nielewe.
Mimi ni mimi sio wewe so ni maoni yangu kuchaguliwa mke overMke unakuja kuishi naye wewe kiongozi, halafu uwe na adabu kwa kaka zako
We ndo shoga unayeamini pesa ndo Everything. Maana wanaweza kukupa pesa na kukupasulia yai. pesa inatafutwa kila sikuTafuta kwanza pesa ....
Pesa unazo ?
Mapenzi bila pesa ni ushoga tu ...