Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

Dah! hakia nani.... nakuonea wivu.... Ratiba yako dear imesimama...

yaani unafurahia wakt timetable yenyewe inaonyesha wazi tutakuwa kama wawili, sijamwona FF, Nahisi yuko bize na jyf, sijamsikia bibie husn afu afro ndo hivyo tena anataka akwepe, nwy usijal.
 
We si huwatakiwajuukuu
Wa kongwe... ngoja tutafute babu mwingine
Wa kutukagua...

afadhani, asprini siku hizi anakamua valiam yaani ni ful kulala, watu wazima tunakula utamu.
 
I am all in... Naomba tufanye maandalizi ya kutosha iwe ya kufa

mtu... kwa muongozo nakuaminia hivo will be looking forward.

Lakufanya saizi ni log off, kujipa nafasi hio siku iwe free kabisa!

Usiniangushe gal... (thou najua you wont)

nakwambia afro atakudanganya, kwanza hela atakuwa amemaliza zote kwenye sikukuu ya idd.
 
<br />
<br />
hiyo route ya zamani bana anzia sakina then kwa babu(babylon) unapita blue house post then moshono hapo wese ya kesho umebakiza

matwi acha ubahili, tumia hela zikuzoe sio utunze hela uzizoee
 
Mwisho wa mwezi una mambo...
Habari gani hugeuka kuwa how are you
 
First Born yaani kuanzia kwa Ashadii, Husninyo na Afrodenzi ukiwahitaji you have to seek permission from me otherwise you are doomed.
 
Back
Top Bottom