AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)
Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)
Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..
Samahani dear sinto kwenda out hii weekend
.......... 🙁 ...........
Dah! hakia nani.... nakuonea wivu.... Ratiba yako dear imesimama...