Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)

Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)

Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..

Samahani dear sinto kwenda out hii weekend

Dah! hakia nani.... nakuonea wivu.... Ratiba yako dear imesimama...

Bila wivu atakuaje kama kweli nampenda?

Polisi Jamii Ulinzi Shirikishi. Nimejiajiri mwenyewe kumlinda huyu malaika aliyebakia duniani.

Ulinzi wako wakati wewe ukisinzia wanaruka geti wanatoroka wanakuacha unakoroma
Tuachie vijana tufanye mambo yetu bana

Tunaanzia Kaloleni maeneo ya shivaz, tunakwena Sakina, then tunarudi Kinjenge family pub na kumalizia nyumbani Moshono.

hiyo route ya zamani bana anzia sakina then kwa babu(babylon) unapita blue house post then moshono hapo wese ya kesho umebakiza

Ulinzi wako wakati wewe ukisinzia wanaruka geti wanatoroka wanakuacha unakoroma
Tuachie vijana tufanye mambo yetu bana
Thubutu yake.....nikilala nawafunga mshipi viunoni mwao, naunganisha na shingo ya kichwa changu...

We si huwatakiwajuukuu
Wa kongwe... ngoja tutafute babu mwingine
Wa kutukagua...
Babu hatafutwi
Babu hapigiwi kura
Babu hateuliwi
Babu hachaguliwi

Babu ni BABU na ataendelea kuwa BABU.
Afu leo hujaniamkia, malabuku!

Dhubutu!! Bora hata FB asingerusha huu uzi kungekua na hope (kwa next weekend)

Hahahahahaha
Next weekend ntaka kufanya house party
.... hapa nyumbani old school lolz..
Twacheza ka MC Hammer ..
Waonaje..??

Hahahahahaha
Next weekend ntaka kufanya house party
.... hapa nyumbani old school lolz..
Twacheza ka MC Hammer ..
Waonaje..??

I am all in... Naomba tufanye maandalizi ya kutosha iwe ya kufa

mtu... kwa muongozo nakuaminia hivo will be looking forward.

Lakufanya saizi ni log off, kujipa nafasi hio siku iwe free kabisa!

Usiniangushe gal... (thou najua you wont)

Sijui lizzy ataendeleza ile story tamu ya ZAWADI.Lizzy upo mama?leo ile story itakuwepo?

Thubutu yake.....nikilala nawafunga mshipi viunoni mwao, naunganisha na shingo ya kichwa changu...

Babu hatafutwi

Babu hapigiwi kura

Babu hateuliwi

Babu hachaguliwi

Babu ni BABU na ataendelea kuwa BABU.

Afu leo hujaniamkia, malabuku!

Babu usema ukweli sina hamu tena..
Kuanzia leo skuletei ugoro, nakuacha
Uanguke mkongojo skusigezei, maziwa
Ndo hupati..
Salamu tu utapata..

Babu usema ukweli sina hamu tena..
Kuanzia leo skuletei ugoro, nakuacha
Uanguke mkongojo skusigezei, maziwa
Ndo hupati..
Salamu tu utapata..
Usiponiletea nakuchapa bakora!

Miss you Asprin...where have you been for so long time babaaaaaaaaaaaaaa....

I am all in... Naomba tufanye maandalizi ya kutosha iwe ya kufa

mtu... kwa muongozo nakuaminia hivo will be looking forward.

Lakufanya saizi ni log off, kujipa nafasi hio siku iwe free kabisa!

Usiniangushe gal... (thou najua you wont)

Usjali..
Guest NO.1 = ADI
Au njoo mapema unisaidie na msosi lol

Najua pa kukupatia....

mmeku nde keni kure wari wa mshango kwa kavishe.

FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)

Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)

Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..

Samahani dear sinto kwenda out hii weekend

unaogopa kushawishika? Unapumzika kwani ulikuwa wapi au ulikuwa unafanya kazi gani hadi ukachoka bibie?

Back
Top Bottom