Haki itakuwa si burePisi kali kakupiga mk.wara. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Unataka kuniambia kuacha kwangu pombe naelekeza nguvu kwenye uzinzi?? Hahahha huu mwaka mrefu sanaaMimi mwenyewe shetwani tutapitiana tu..tena tukiwa vyombo tunamsingizia shetani pombe..sisi shetwani watu tunakaa pembeni [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Yes kwa siku za mwanzo..ila ukishalambwa kibuti utamrudia kipenzi chako pombe..ni muda tu.na sisi hatujawahi kuwa acha salamaUnataka kuniambia kuacha kwangu pombe naelekeza nguvu kwenye uzinzi?? Hahahha huu mwaka mrefu sanaa
Sitaki uniache salama kabisaaYes kwa siku za mwanzo..ila ukishalambwa kibuti utamrudia kipenzi chako pombe..ni muda tu.na sisi hatujawahi kuwa acha salama
😅😅😅kweli huipendi dunia na raha zake..haki tenaSitaki uniache salama kabisaa
HAPPY NEW YEAR 2021Kila la heri katika hatua ya kwanza ya safari yako ya kuelekea mbinguni
Hamtuthamini wateja wenu...miaka 20 hata tunzo sinaMkuu tuambie shida iko wapi. Kama ni sukari tulizidisha ama ni shida iko wapi. Kwa sasa tumetumia ngano imported. Kama hamjapenda mdau tueleze tuangalie namna tutaibalance ikae sawa usiache furaha yako asilani
HahahahaNa kama pia sababu ni club yenu pendwa ya chelsea kutokufanya vizuri tutalifatilia kwa ukaribu kabisa na hili dirisha dogo tutafanya maajabu. Na Hazadr tutamrudisha ameenda kuzurura tu huko madrid. Kuendelea kusubiri haya yote ongeza bia 2 popote utapoona gari letu simamisha na chukua bia yako
Unikatae tena sasa hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha ya mapenzi ni maumivu yake[emoji28][emoji28][emoji28]kweli huipendi dunia na raha zake..haki tena
Ohooooooooooo..moyo wako utakuwa unamatobo tobo kama chandarua.safi🤛🤛Raha ya mapenzi ni maumivu yake
Kuacha kabisa ni ngumuu....unapiga kidogo kidogo yakuchanganya chakula tumboniDay 2 sijagusa pombe.... jana usiku nakuskiza moyo unasema kapate hata moja ya bardiiiiii uje ulale....nilifanikiwa kuishinda hiyo roho. Ngoja tuone mwezi unaishaje. Nikifanikiwa kuacha 30 days....ntaacha rasmi
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa tutakushindisha Hillux. Ngoja tufanye makusanyo. Jambo dogo sana hili. Usiache pombe asilaniHamtuthamini wateja wenu...miaka 20 hata tunzo sina
Hahahaaa...ule muda tuliotumia bar kwa sasa tutaufanyia nin mkuu? Au tuende tuwe tunakunywa baltika