koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Tatizo ni ule muda tunaotumia tukiwa bar tunaufanyia ninibest decision mkuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni ule muda tunaotumia tukiwa bar tunaufanyia ninibest decision mkuu....
Tatizo ni ule muda tunaotumia tukiwa bar tunaufanyia nini
swimming, tembelea wagonjwa, msaidie wife kupika...
Vp Mkuu bado umeshikilia hapo hapo au ushajighairia umeanza tena kugusa?Tuko pamoja 2021 sitaki kugusa kabisaa pombe.
Vp Mkuu bado umeshikilia hapo hapo au ushajighairia umeanza tena kugusa?
Happy New Year.
Tukutane ujiji hahahaNawaza tu hapa kama vitawezekana kwako
Hata mimi nimeshindwaMimi nilipanga niache lakini nikaona kwanini nijitese
Mimi nimerudi bana...Ha ha ha msimamo uko pale pale nimeshaapa sitaki kujisaliti.
Happy new year
Sio kwel..Utakuwa umeepuka maradhi mengi na afya yako itaimarika sana
Hahaha labda kwenye kupika haposwimming, tembelea wagonjwa, msaidie wife kupika... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] 😉 😉 😉
Ni ngumu aisee...pombe ni uhaiDah mimi siachi sasa labda huko mbeleni nitajaribu jaribu kufikiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi kwelikweliMitano tenaa
Hahaha mimi nisharudi kundinii...kumbe niliandika huu uzi nikiwa nimelewaVyapombe wawili wakipeana matumaini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mshirikisheni Mungu,anajua udhaifu wenu na atajua namna ya kuwasaidia.
Sasa wewe pompeo sijui itakuwaje kwako maana hata Mungu humuamini.
Eh![emoji16]nenda ukaombeweNi ngumu aisee...pombe ni uhai
Nilienda kuangalia game ya chelsea na man cty ilivyofika dk ya 25 nikakuta mezaa imejaa vilevii vya kila ainaaEh![emoji16]nenda ukaombewe
Hakudhamiria kabisaaaaaaaaUnakwama wapi mkuu ULIDHAMIRIA KWELII??
Hahaha mkuu ume nichekesha sana daah!Hahaha mimi nisharudi kundinii...kumbe niliandika huu uzi nikiwa nimelewa