Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Vyapombe wawili wakipeana matumaini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Mshirikisheni Mungu,anajua udhaifu wenu na atajua namna ya kuwasaidia.

Sasa wewe pompeo sijui itakuwaje kwako maana hata Mungu humuamini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...

Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai

Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe

Happy new year wakuu
Nilikuwa sijauona huu uzi, hopefull bangi zishakuisha.
 
Nakushauri usiache pombe aisee. Utaanza kurudi nyumbani mapema na kuanza kufanya umbea na wife. Pombe ni uhai lakini isikupelekeshe tu. Kama unaweza punguza tu lkn USIACHE
 
Back
Top Bottom