Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Mimi mwenyewe shetwani tutapitiana tu..tena tukiwa vyombo tunamsingizia shetani pombe..sisi shetwani watu tunakaa pembeni [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Unataka kuniambia kuacha kwangu pombe naelekeza nguvu kwenye uzinzi?? Hahahha huu mwaka mrefu sanaa
 
Unataka kuniambia kuacha kwangu pombe naelekeza nguvu kwenye uzinzi?? Hahahha huu mwaka mrefu sanaa
Yes kwa siku za mwanzo..ila ukishalambwa kibuti utamrudia kipenzi chako pombe..ni muda tu.na sisi hatujawahi kuwa acha salama
 
Mkuu tuambie shida iko wapi. Kama ni sukari tulizidisha ama ni shida iko wapi. Kwa sasa tumetumia ngano imported. Kama hamjapenda mdau tueleze tuangalie namna tutaibalance ikae sawa usiache furaha yako asilani
 
Na kama pia sababu ni club yenu pendwa ya chelsea kutokufanya vizuri tutalifatilia kwa ukaribu kabisa na hili dirisha dogo tutafanya maajabu. Na Hazadr tutamrudisha ameenda kuzurura tu huko madrid. Kuendelea kusubiri haya yote ongeza bia 2 popote utapoona gari letu simamisha na chukua bia yako
 
Hahahaha
 
Day 2 sijagusa pombe.... jana usiku nakuskiza moyo unasema kapate hata moja ya bardiiiiii uje ulale....nilifanikiwa kuishinda hiyo roho. Ngoja tuone mwezi unaishaje. Nikifanikiwa kuacha 30 days....ntaacha rasmi
 
Kuacha kabisa ni ngumuu....unapiga kidogo kidogo yakuchanganya chakula tumboni
 
'Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai'
Mwisho wa kunukuu 😀 katika ulimwengu wa kiroho tunasema mwili na nafsi zimeumana! Sema unapumzika pombe! Siyo unaacha!

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom