Lete invoice nyinyi ndio bye bye 2020 mtaweka kivuli cha mtu??Ni aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.
Hahah aiseeView attachment 417977
Njaa mbaya sana.
Sasa kama Mungu kanibariki namficha mwanadamu ambaye ni udongo tu ili iweje ?Nia tumeelewa lakini kulikua na sababu gani ya kusema wewe ni tajiri? Kaa ukijua tanzania matajiri tuona kama watano na wote wanajulikana, au utajiri wako ni wa afya?
Hili ni tatizo tu la kisaikolojia...pale mtu anapogeuza uanachama wa chama fulani kama imani ya DINI au KABILA. Chama cha siasa siyo DINI wala KABILA bali ni mkusanyiko tu wa watu wenye kuunganishwa na SERA na ITIKADI fulani tena kwa wakati maalum. Sera na itikadi hizo zinapobadilika kutokana na wakati au mabadiliko ya Kijamii, kiuchumi na Kisiasa basi watu hao wanaweza kubadilika kimtazamo na kufuata SERA na ITIKADI zinazoendana na wakati husika katika vyama vingine.Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,
Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Hivi kuna mtu unaweza kumfundisha siasa hapa jf ?Hili ni tatizo tu la kisaikolojia...pale mtu anapogeuza uanachama wa chama fulani kama imani ya DINI au KABILA. Chama cha siasa siyo DINI wala KABILA bali ni mkusanyiko tu wa watu wenye kuunganishwa na SERA na ITIKADI fulani tena kwa wakati maalum. Sera na itikadi hizo zinapobadilika kutokana na wakati au mabadiliko ya Kijamii, kiuchumi na Kisiasa basi watu hao wanaweza kubadilika kimtazamo na kufuata SERA na ITIKADI zinazoendana na wakati husika katika vyama vingine.
Sasa mtu anaposema yupo chama fulani milele ni dhahiri kwamba hajui nini maana ya SIASA au anayochukulia SIASA katika mtazamo wa KIDINI au KIKABILA ingawa hata dini watu huwa wanabadilisha kwa sababu maalum.
You will stumble.Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Nami nakuunga mkono kwa uamuzi huo wa kuiunga mkono cdm hadi mwisho wa uhai wetu,cdm hoyeeeeeeeeeeeMimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Unafikiri ni rambaramba kama wewe?Kijana Tajiri...!
Tumekwisha kula kiapoUmechagua fungu lililo jema ila kumbuka kauli ni kama kiapo
Wwe ni nani mpaka usifundishwe siasa? Siasa ni elimu kama elimu nyingine zozote. Tena ni elimu ya kisayansi.Hivi kuna mtu unaweza kumfundisha siasa hapa jf ?
Kipendacho rohoMimi hukuhuku CCM mpaka kieleweke.
Wacha kumchaguliaLower your expectations and live happier life... siasa si sayansi inanyumbuka utaumia kijana
Tupo pamoja sanaPamoja daima