Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Ni aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.
Lete invoice nyinyi ndio bye bye 2020 mtaweka kivuli cha mtu??
 
hongera mkuu. ingawa watu makini hawafungi ndoa na vyama vya siasa....
 
Nia tumeelewa lakini kulikua na sababu gani ya kusema wewe ni tajiri? Kaa ukijua tanzania matajiri tuona kama watano na wote wanajulikana, au utajiri wako ni wa afya?
 
Sasa kama Mungu kanibariki namficha mwanadamu ambaye ni udongo tu ili iweje ?

Samahani kwa kukukwaza mkuu , halikuwa lengo langu .
 
Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,

Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Hili ni tatizo tu la kisaikolojia...pale mtu anapogeuza uanachama wa chama fulani kama imani ya DINI au KABILA. Chama cha siasa siyo DINI wala KABILA bali ni mkusanyiko tu wa watu wenye kuunganishwa na SERA na ITIKADI fulani tena kwa wakati maalum. Sera na itikadi hizo zinapobadilika kutokana na wakati au mabadiliko ya Kijamii, kiuchumi na Kisiasa basi watu hao wanaweza kubadilika kimtazamo na kufuata SERA na ITIKADI zinazoendana na wakati husika katika vyama vingine.

Sasa mtu anaposema yupo chama fulani milele ni dhahiri kwamba hajui nini maana ya SIASA au anayochukulia SIASA katika mtazamo wa KIDINI au KIKABILA ingawa hata dini watu huwa wanabadilisha kwa sababu maalum.
 
Hivi kuna mtu unaweza kumfundisha siasa hapa jf ?
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
You will stumble.
 
Nami nakuunga mkono kwa uamuzi huo wa kuiunga mkono cdm hadi mwisho wa uhai wetu,cdm hoyeeeeeeeeeee
 
CHADEMA bado itakuwa Imara sana pamoja na haya tunayopitia
 
Lazima mwenye uelewa jiulize kwa nini chadema ionekane na wasioipenda ni adui jibu kubwa zaidi ya yote ni hii Elimu ya uraia iliyotolewa na Viongozi wa hiki chama. Chadema ni chama kilichojengwa ktk mioyo ya watu zaidi kuliko majengo na mashabiki , wanachama na wasio wanachama ni watu wa kujitoa ktk kusaidiana kwa jambo lolote ni watu wakujitoa. Ukitaka kulijua hili angalia mwamko wa upinzani wenye hari kubwa mioyoni mwao hata kama hawajuana na kujuana kwao ni kwa njia ya hoja wakutanapo ktk mijadala hapo ndugu unamea kijiji, mpaka Jimbo kwa hiyo ni chama tishio kwa wenye hofu.
Mimi ni mwanaccm mkweli kabisa haya nimeyafuatilia kwa kipindi kirefu hasa tuwapo ktk mijadala kwenye vijiwe vya kahawa ,daladala na katika mizunguko ya jamii ndo utajua elimu inavyopenya kwa raia.
 
Back
Top Bottom