Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Mimi sina chama lakini nakuelewa kwani naona kama vile vijana wote wenye akili wako CHADEMA na wote wanaopenda kulinda maslahi ya tumbo na wasio na ukweli wako ccm.
Ninasema hivyo kwa kuwa siamini kuwa kuna kijana msomi hata moja asiyeelewa kuwa anachofanya Rais wetu siyo sahihi lakini viongozi wote vijana ambao wote ni CCM hawathubutu kumwambia hata kwa siri kwani baba yako huwezi mwambia kwa wazi kwamba kuzuia mikutano ya chama ni kuvunja katiba.
 
Only fools can assume complete certainty, wise people leave room for uncertainty.
I don't like to abuse you but certainly you are a mediocre sorry sir
 

Sasa Si ndio uende mahabusu ukaungane na kamanda Mwalimu boss
 
Hahahaha. ....comedy show
 
Chadema mbele... Mna akili kushinda zile za chama kingine..
Strategies zenu zmeenda shule. Wajambisheni haooo
 
Nasoma post zako za kabla ya Lowassa kwenda CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…