Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Umesema mwenye kipato cha juu ( utajiri) sasa unakana tena maandishi yako?UTAJIRI C PESA hata Mawazo chanya pia ni UTAJIRI. Mo C TAJIRI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mwenye kipato cha juu ( utajiri) sasa unakana tena maandishi yako?UTAJIRI C PESA hata Mawazo chanya pia ni UTAJIRI. Mo C TAJIRI.
Mwenye kipato cha juu ni mimi , huyo unamsingizia tu , vijana wa kitanzania acheni uoga , kama Mungu amekupa mali utamficha binadamu mwenzio ili iweje ?Umesema mwenye kipato cha juu ( utajiri) sasa unakana tena maandishi yako?
Usihangaike na wachumia tumbo .Wewe unamjua Mungu yupi au umekaririshwa?
Kwahiyo tajiri amekutuma umsemee?"Vipesa vya madafu"
Hivyo hivyo vipesa vinatosha kabisa kukufanya tajiri hapa tz. Muda wa mtu anaamua mwenyewe autumieje, yeye na utajiri wake aneamua kuwa JF, tatizo liko wapi? Anakukera? Basi post zake usisome wewe pita tu kama vile hujaziona!
Ndio mkuu, kwani kuna tatizo? Au nimeingilia kazi yako!Kwahiyo tajiri amekutuma umsemee?
Hongera kwa hicho kibarua...Ndio mkuu, kwani kuna tatizo? Au nimeingilia kazi yako!
Asante mkuu.Hongera kwa hicho kibarua...
You're not alone, Tupo pamoja katika kupigania na kutetea haki na usawa za mtanzania.Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Hata akishuka yesu Kristo wanaweza wakamwambukiza chuki, uhasama, fitina, ufisadi, dhuluma, udikteta uchwara, Umaskini, maradhi, ujinga nk.Mkuu karibu sana. ....sioni bila chadema ntaenda wapi? Ccm hapana labda ashuke Yesu Kristu ndo awe mwenyekiti wake..... akiwa mwanachama tu bado sintawaamini.....
Yeye ana maisha bora sana kuliko wewe unayetengemea maisha bora na ahadi uchwara kutoka kwa dikteta uchwara.Nani anakujua we tajiri?
Tangia hapo ulikuwa chadema,kafie hukohuko na utajiri wako uchwara.
Tuko pamoja mkuuuMimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Kwa biashara gani, au za kurithi nayo unatambia hapa ulivyo akili finyu sidhani kama una uwezo wa kufikiri uibue miradi mipya.Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Kwa biashara gani, au za kurithi nayo unatambia hapa ulivyo akili finyu sidhani kama una uwezo wa kufikiri uibue miradi mipya.
Unaapa kwa ajili ya chama siasa, huo unafiki mwisho wake mbaya sana pia naona hicho chama ikulu wataiangalia kwenye TV tu maana JK at least alikuwa anawaalika kunywa juice sasa kwa JPM mambo yamechange na muda si mrefu naona kama itabaki tu historia kuwa kuna chama kiliitwa chadema
Hata ZZK alisema atafia chadema ila mwisho wa siku wewe unajua alivyoshangilia Tundu lisu siku ZZK kashindwa ile kesi pale mahamakani na hatimaye ALIFUKUZWA CHADEMA. Hivyo acha kuropoka vitu usivyovijua!Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .