Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

siasa haina umilele mabadiliko yanatokea muda wowote na ukasepa kwani sio wazazi wako kwamba hata ukiwakana bado dna hitakumbua (mm sina chama cha siasa chakukili na umilele nacho HAPANA KWANGU KWA SIASA UCHWARWA) iyo ndoa ya kristo yenyewe inavunjika pamoja na viapo vyote itakua siasa ILAYOTE KWAYOTE KILA LAHERI KWANI KUPANGA NIKUCHAGUA
 
Kwanza naona fasihi katika kufikisha ujumbe... Nasema fasihi nikimaansha fasihi sio tu kama unavyojua wewe darasani bali fasihi kwenye kundi la sanaa.
Ni mtazamo tu.
Mfano wa kumaanisha nilichokisema ni mbona mtoa mada ajataja jina lake kamili? Anajta tajiri kwani chadema wamesema walikuwa hawana vijana matajiri au mtu tajiri mpaka sifa ya utajiri katika kukoleza uzito wa mada.

Bado nasisitiza ni mtazama wangu tu.

Kikubwa kaitumia fasihi vizuri ameeleweka. Kama alitaka kujua sisi tupo humo kitambo hatubadiliki kama yule dk.....
 
Wengine tunajiuliza utakufa lini, kwa hayo maisha yako yaliyobaki!
 
S͢a͢f͢i͢ s͢a͢n͢a͢, h͢i͢y͢o͢ i͢n͢a͢n͢i͢k͢u͢m͢b͢u͢s͢h͢a͢ y͢a͢ 'w͢a͢k͢i͢l͢i͢ m͢s͢o͢m͢i͢'.
 
Haina uhusiano kabisa .

Kamanda labda hujaelewa. Maana yake ni kwamba mnachofanya ni usanii tu. Huyo kwenye hiyo video alidai kumzomea Lowassa kuwa ni fisadi ni neema kwa Mungu. Mtu huyo huyo amegeuka na kuja kumtakasa aliyemuita fisadi na bahati mbaya zaidi wakati yeye anagoma kula chakula huko mahabusu Lowassa alikuwa anfyonza mvinyo baridi na swahiba zake wa CCM.

Inahitaji uwe na ubongo wa panzi kushabikia CHADEMA.
 
Amina, Ubarikiwe.
 
Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,

Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Na wala si kwa hasira ni kwa moyo kwatu,Hongera sana.
 
Hongera sasa kijana. Tangu nitambue mambo ya siasa sijawahi kuwa ccm.. Siipendi Ccm, sikipendi chama cha bibi yangu[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…