Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Tajiri gani wewe wakati wote tunajua ni kijana wa Mbowe unae tumika katika shughuli za propaganda mitandaoni.
 



Mkuu tatizo lako umevurugwa pole sana unaishia kuandika majungutu
 
Vipi mkuu bado una imani na CHADEMA na UKUTA?
Chadema ni chama cha kisasa chenye mbinu murua , bila polisi hakuna ccm , wewe mwenyewe ni shahidi , makamanda wa polisi wakistaafu hukimbilia ccm kugombea ubunge , kwa vile ni wanachama kitaaambo.
 
Utajiri sio pesa huyu ni great thinker hana akili za remote kama wale vijana vichwa panzi au vichwa kuku, hakuna vijana wajinga chadema wote ni matajiri wa akili na kutafakari mambo kwa mapana
 
Chadema ni chama cha kisasa chenye mbinu murua , bila polisi hakuna ccm , wewe mwenyewe ni shahidi , makamanda wa polisi wakistaafu hukimbilia ccm kugombea ubunge , kwa vile ni wanachama kitaaambo.

Dj kabadili CD katikati ya disco makamanda mnaruka na kukanyagana😀😀😀
 
Mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri hawezi kuwa mpenzi wa Chadema
 
Naamini bila Chadema na UKAWA kwa ujumla nchi hii ingekuwa Jehanamu. Mawazo, dira, sera na miongozo yote muhimu inatoka Chadema/UKAWA. Ni kipi hasa kwa miaka kumi na ushee ya hivi karibuni kimetokana na sera na mipango ya CCM?
 
Karibu kwenye chama LA watu wenye makili mengi
 
Weka akiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…