Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Labda kama utakuwahi hadi hadi 2055 ndio utashuhudia CDM ikienda IKULU ( kama isipokufa kabla ya 2020).
 
Kijana tajiri, kua kwenye chama cha wapiga dili na wakwepa kodi..

Hakuna cha ajabu hapo, ni kama mshale kurudi porini...

Teh teh teh...
 
Kijana tajiri, kua kwenye chama cha wapiga dili na wakwepa kodi..

Hakuna cha ajabu hapo, ni kama mshale kurudi porini...

Teh teh teh...
Nakubaliana nawe hiki chama cha wanywa viroba na wasiokua na upeo. Utamnyang'anyaje duka aliyejenga tena mzee na kummilikisha kada wa chadema tena wa miaka 25 kwa nini asijenge lakwake. Hakika Chadema 2020 no ndoto.
 
Hongera mkuu kwa kiapo murua kabisa. Nadhani Jingalao, Muda wote na Lizaboni watakapopata ufahamu watakutafuta uwape somo.
 
Nakubaliana nawe hiki chama cha wanywa viroba na wasiokua na upeo. Utamnyang'anyaje duka aliyejenga tena mzee na kummilikisha kada wa chadema tena wa miaka 25 kwa nini asijenge lakwake. Hakika Chadema 2020 no ndoto.
Umetia aibu ya bure sana !
 
Umefanya uamuzi Wa busara, Ila uwakumbushe nduguzo kuacha ziada za matukio.

Tunahitaji sera, sio mihemko kama mafua ya kipindi cha baridi.
 
Umefanya uamuzi Wa busara, Ila uwakumbushe nduguzo kuacha ziada za matukio.

Tunahitaji sera, sio mihemko kama mafua ya kipindi cha baridi.
Kumbuka kwamba mipango ya chadema ndio inayoongoza nchi hii .
 
Karibu sana sisi tulikuja na Lowassa lakini ofisi zetu zipo Masaki kwa sasa siyo Ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…