ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Mkuu watu wengi si wepesi kuchangia maendeleo… JPM alivyokuwa anawabana wenye nazo ilikuchangia maendeleo walisema ni jambazi dikteta…kubana matumizi kwetu ni maumivu hicho kitu sio rafiki kwenye masikio ya watu…vita kubwa tena..basi tuchape kazi maneno na vitendo haviendani…fukuza machinga, mfumuko wa bei kila kona kwenye mbolea, sijui nini ilimradi vurumai…
Basi tusubirie labda siku akili zitatukaa sana maana siku hizi common sense is rare
Personally nakubali, waibe, wabane, maneno ya shombo waongoze, mikopo hadi, tushindwe kulipa mishahara. Tutunze kumbukumbu. Baadaye wawajibishwe, tukishaondoa kinga kwa Watanzania,viongozi wote, including Rais.
Akili zitatukaa sawa.