Natangaza maamdamano ya amani kwa sisi vijana ambao hatuna mwelekeo baada ya kuhitimu vyuo. Tukutane kesho Posta

uzuri mamluki wote mnajulikana humu. Kama ndio wamekutuma ili uanze umechemsha. Naona kuna trend ya mamluki kuanza kumpinga mama ili kukamata wanaopiga spana Mmechelewa!.
Umejoin 2024! Sishangai maana umejibu kwa hisia na miemko. Wakongwe wa JF wanajulikana kabisa.
 
WAJIBU WA KUJIKOMBOA SISI VIJANA, TUTAPATA SISI WENYEWE KTK HARAKATI ZA MAPAMBANO YA KUJIOKOA WENYEWE

Kukazaliwa kwa taifa jipya chini ya moto wa mageuzi wa vijana eeh Mungu tutie ujasiri

Ila inabidi vijana kuongoza harakati hizo, kama waasisi vijana walivyoweza kumuondoa mkoloni Tanganyika 1961

TOKA MAKTABA : Maneno mazito ya vijana miaka ya wazazi wetu wakiwa na mawazo pia fikra huru, sikiza ujumbe wao kuhusu Kufaulu / Kufikia Ndoto / Success:

Kufaulu (Success) - Patrick Ballisidya & Orch. Afro. 70 Band (1973)


View: https://m.youtube.com/watch?v=CusrvwChw3g&pp=ygUOQWZybyA3MCBBZnJpa2E%3D
 
Sipingi mawazo yako, unahoja usikilizwe. Ninaimani kunavijana wengi wenye mawazo kama yako.

Lakini nataka nikushauri kitu. Hakikisha unavuta watu kwanza ambao wana the some interest kama wewe.

Kisha mnatakiwa kuja na hoja makini na demand zenu.

Hizo demand na hoja zenu mnatakiwa kuzispread tanzania nzima, uzuri mitandao imerahisisha.

Kama mkifanikiwa kuanzisha maandamano, mjitahidi sana msiharibu mali za Umma maana zimesimama hapo kwa kodi zetu so kuzihujumu ni kujihujumu sisi.

Cha kumalizia, Vuna kwanza audience then tangaza tarehe ya kuandamana. Utafanikiwa na mungu akutangulie.
 
Unataka nani akupe muelekeo? 😂😂
 
Oscar bachelor & masters udsm unamtaja zero brain?
 
unayatangaza ukiwa umelala?
 
Naunga mkono
Chachage alishawahi kusema. Ukimkuta mwanafunzi wa chuo kikiuu anasoma miaka mitatu/mine bila kugoma. Kuna mambo mawili huwa yanatokea. Aidha haelewi au ana kariri anachofundishwa. Mm niligoma na kuandamana nikiwa chuo. Hawa wanagoma wakiwa chuo?
 
Siwezi kucha ugali wangu nikakusanyike sijuwi wapi. Kila siku ajira zinatolewa na watu wanaajiriwa wewe una vyetu feki nakuja kulalama hapa.
 
Nitakuwepo,nita vaa shati la kijani na suruali nyeusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…