Natangaza maamdamano ya amani kwa sisi vijana ambao hatuna mwelekeo baada ya kuhitimu vyuo. Tukutane kesho Posta

Ni kweli kuna changamoto ya ajira ila hili sio changamoto ambayo suluhisho lake linahitaji maandamano. Kwa mfano tungeona vijana wanasema kupinga labda uwekezaji wa bandari au misitu mtu unaweza kushawishika. Aidha, Watanzania tujifunze kufanya kazi kwelikweli na kuacha uswahili. Kuna wageni wanapewa kazi hapa nchini sio kwa sababu wana sifa za kipekee ila kwa ukimwajiri Mtz hafanyi kazi kivile zaidi ya kisuka mipango ya upigaji.
 
Kenya Gen Z wanatakiwa waje wajifunze CHADEMA jinsi ya kuandamana Maandamano ya AMANI sio wao wanapora Maduka na Kuchoma hayo maandamano gani sasa?!

Ushamba sana.
 
'Joined 2007'
Mimi sitaki kuchangia naogopa kubebwa mkukumkuku kama furushi nina watoto wananitegemea
Au naongea uongo mzee mwenzangu Tate Mkuu ?
Joined 2007
Daah kitambo sana
Hapo nilikuwa la sita
Nishamaliza chuo 2018
Mpaka now Sina ajiraa
Itoshe kusema jamaa ni mkongwe sana
Ushauri wake uheshimike
'Joined 2007'
Mimi sitaki kuchangia naogopa kubebwa mkukumkuku kama furushi nina watoto wananitegemea
Au naongea uongo mzee mwenzangu Tate Mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…