Natangaza ndoa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
wana jf natangaza ndoa
mwenye pingamizi aweza litoa
ndani ya saa 24 kuanzia sasa
na kama pingamizi hakuna
basi ndoa itakuwa imehalalishwa
na ujue kuwahi sio kupata
na naomba pingamizi lisiwe na jazba
kwani kaumbwa na mola
akampa urembo,utashi na hekima
kwa sababu yake siwezi hata kulala
 
Ivuga kuna kipindi ulikuwa una complain kuwa demu wako kabunduliwa na rafiki yako, lengo si kukumbusha huko bali kukuuliza huyo mchumba umempata lini au ndiyo ulikuwa unasagulaga katika kundi ulilokuwa unamiliki? Anyway ndoa ni jambo la msingi, kila la kheri katika hilo ila epukana na tabia ambayo itakupelekea kuoa na kuacha. Kila la kheri.
 

yule niliachana naye sasa hivi nataka mtoto wa hapahapa JF ,JF ni kila kitu jamani kama hamuamini
 
Kila la kheri, mm naomba niwe mcmamizi wa hyo ndoa!
 
IVUGA hebu ntaku PM bana...kuna kitu na consult kwanza...lakini i will shock you kwa kweli..haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…