Natangaza ndoa

Natangaza ndoa

hakikwepeki coz the only mtu aliyeleta pingamizi ameshatukana wakunga tayari hadi mida hii, haihitaji kuwa na tochi kujua kuwa speaker keshafika mwisho wa reli

Aya,..
yeye mwenyewe keshanipa adhabu na tume maliza tofauti zetu,..
unajua adhabu yenyewe?

Dar kuna baridi saivi jamani duh,ila afro................
 
hakikwepeki coz the only mtu aliyeleta pingamizi ameshatukana wakunga tayari hadi mida hii, haihitaji kuwa na tochi kujua kuwa speaker keshafika mwisho wa reli

Hapo kajikoki mwenyewe pole Speaker. 😛eep:

Afro Denzi unaolewa?

images
images

Zanta chagua ruler na penseli hapo pigia mstari hayo maneno yako
 
Aya,..
yeye mwenyewe keshanipa adhabu na tume maliza tofauti zetu,..
unajua adhabu yenyewe?

Dar kuna baridi saivi jamani duh,ila afro................
hahahah, kuilichobaki sasa hivi naona unajifariji tu, ushapiga mbizi kwenye lami kijana
 
Lily hakuna ndoa,ila tutakua mahakamani juma jano ya week ijayo
mpaka binti atoe tamko kwanza unakimbilia mahakamani kufanya nini? hujui kuwa mimi ndio nimeteua mahakimu?
 
kaombe msamaha kwanza na kukanusha kule kwenye ile post yako

Ni utundu tu ule,unaweza ku prove kua 1=2 vile vile!
Duh,ngoja nika pumzike i feel sick sanaaaaaaaaaaaa
 
hahahahahahaah lol
hivi hii thread imefika
page ya 10 daahhhh
Ivunga na Speaker mmhh
mataacha lini ???

mie sina hamu mnavyonichekesha hatari mmhh
 
Ni utundu tu ule,unaweza ku prove kua 1=2 vile vile!
Duh,ngoja nika pumzike i feel sick sanaaaaaaaaaaaa
offcourse you hv to feel sick, umelikoroga mwenyewe bro, na huwezi kuunywa huu mwarobaini, kilichobaki ni kutoa tu baraka zako watu tujichukulie kimwana bila pingamizi lolote, hivi wewe hutaki kuona wenzako wakipata raha?
 
hahahahahahaah lol
hivi hii thread imefika
page ya 10 daahhhh
Ivunga na Speaker mmhh
mataacha lini ???

mie sina hamu mnavyonichekesha hatari mmhh

hadi speaker afute kauli yake kuwa kakuoa last year
, hata hajui kudanganya
)🙂🙂
 
hadi speaker afute kauli yake kuwa kakuoa last year
, hata hajui kudanganya[/SIZE][/FONT])🙂🙂

hahahahahah lol
mie simo mmhhh
nyie mkielewana na mie ntakuwemo
sitaki kuwa list natakuwa first and last hahahah lol
 
Back
Top Bottom