Natangaza ndoa

Natangaza ndoa

.........................????????
:alien::alien::alien:.... Mbona watu wa high table hatukutaarifiwa!!
 
Nimeongea nae mda wa lunch aisee,kumbe uko serious una msumbua mke wa mtu?
inabidi niku fungulie mashtaka ya kutaka kunyang'anya mke
maana nyie watu hamtanii kumbe kwenye hii sekta
nipo kwenye high speed kijana wangu , na ninavyoona hutaweza kunistopisha baada ya wewe kuja hapa na kujin'gatan'gata
Unafanya nishindwe kufanya kazi!
Unavo cheka una nikumbusha mbali sana
natamani nije home sasa hivi
unachukua maneno yangu sio? hahahahah
.........................????????
:alien::alien::alien:.... Mbona watu wa high table hatukutaarifiwa!!
hili ni tangazo tu kwa mwenye pingamizi, mambo mengine mazuri to come soon)🙂:
 
mweeeeeeeeeeeeee
ngoja aseme mwenyewe
minasubiri apa upenuni niskie.....SKUTAKIIIII......i wont marrrrrrrrrrrrrrrrrrr u............tambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....unkomeeeeeeeeee:rant:
 
mweeeeeeeeeeeeee
ngoja aseme mwenyewe
minasubiri apa upenuni niskie.....SKUTAKIIIII......i wont marrrrrrrrrrrrrrrrrrr u............tambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....unkomeeeeeeeeee:rant:

Speaker anaogopa sana haya maneno na si mda mrefu tutashuhudia akipigwa haya maneno bila woga wowote !! hahaha
 
mweeeeeeeeeeeeee
ngoja aseme mwenyewe
minasubiri apa upenuni niskie.....SKUTAKIIIII......i wont marrrrrrrrrrrrrrrrrrr u............tambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....unkomeeeeeeeeee:rant:
mmhh bibie
uko karibu karibu na jibu langu ...
 
ivuga na speaker naona mnalumbana tu hapa ila mamjui kuwa vita vya panzi furaha kwa.............? jazeni wenyewe mtashangaa watu tushabeba kimya kimya .

ukipenda niite double biiiiii,tchao
 
ivuga na speaker naona mnalumbana tu hapa ila mamjui kuwa vita vya panzi furaha kwa.............? jazeni wenyewe mtashangaa watu tushabeba kimya kimya .

ukipenda niite double biiiiii,tchao

mmhh jamani wewe
na vita vya kunguru ni furaha kwa nani??
 
kivipi tena? wewe hujawahi kusikia ndoa imevunjika mbele ya padri? binti kaulizwa swali kasema sipo tayari kuishi naye hadi kufa na kuzikana.

hahahahaah lol
lakini waweza kuwa tayari
kuishi naye mpaka benk itakapo kauka..
 
mweeeeeeeeeeeeee
ngoja aseme mwenyewe
minasubiri apa upenuni niskie.....SKUTAKIIIII......i wont marrrrrrrrrrrrrrrrrrr u............tambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....unkomeeeeeeeeee:rant:

Afro hana hayo,nakumbuka enzi zile napanda naruka fensi kuingia kwao
na kuwaacha washika pembe kama ivuga nje!
Saivi ni wangu tu,sitishi na wavamizi
 
kivipi tena? wewe hujawahi kusikia ndoa imevunjika mbele ya padri? binti kaulizwa swali kasema sipo tayari kuishi naye hadi kufa na kuzikana.

Hizo zipo kwenye maigizo ya kina kanumba
 
mmhhhh
yangu mbona kila
nikicheck inasema Balance $0
mmmhhh na hiyo unaiitaje??

Unaongelea ya benki gani?
CRDB,NBC,NMB,AU EXIM?
kama ni NMB nilikwambia ujikopeshe kwa ajili ya gari ya kununua
gari then mwisho wa mwezi huu ntakurudishia!

Unasahau mapema hivo baby
 
Sasa black bat wewe mbona uta muumiza mwenzako kila sehemu
utakayo tumia ulimi?

Maana wewe kila siku unalamba ukuta na ulimi umekomaa sana,
sehem nyingine laini hazihitaji ulimi mgumu bana!
 
Sasa black bat wewe mbona uta muumiza mwenzako kila sehemu
utakayo tumia ulimi?

Maana wewe kila siku unalamba ukuta na ulimi umekomaa sana,
sehem nyingine laini hazihitaji ulimi mgumu bana!
wewe ujui kazi ya ulimi? sio zama za ujima izi ,bibie atakuhadithia bro!!utashangaa tu mke kakukimbia kama ujui kuutumia ulimi
 
Back
Top Bottom