Natangaza ndoa

Natangaza ndoa

Tobaaaaa na wewe tena???? Ivuga ndg yangu, kazi unayo. Ungejua ungefunga ndoa kmya, kmya bla kuomba pingamizi!
<p>
</p>
<p>&nbsp;</p>
heeeh!kama ndo huyo basi na mie nna shock yako.utafute mtu wa karibu na ukae kitako manake usife wimawima.ukiwa tayari niweke hapa hadharani manake najua pm hutasoma!
 
Wedding.jpg
.
 
Mmh yaani watu mnazimiana kwa mafeki nemu yenu hii kazi bwiiii

Muombe mungu msiwe ndugu esp kama kaka na dada

Kwi kwi kwiiiii

acha kunitafutia balaa mkuu ,isitoshe nina mdogo wangu wa kike mmoja tu na yupo chuo
 
Mh! bado thread za maumivu zitaanza. Ni mchumba wako toka lini. Nakushauri kama huna zaidi ya 5yrs ya maangalio wala usioe. Utakuja niambia kama siyo kilio kabisa.

We jitumbukize kwenye moto.
 
Achana nae pingamizi lake halina maana. Vp ushasoma hyo PM??? Tuweke wazi tfdhal au anzisha thread nyngne u2ombe ushauri.
acha kunitafutia balaa mkuu ,isitoshe nina mdogo wangu wa kike mmoja tu na yupo chuo
 
Moto tena??? Mbona mnazidi kumtia kaka Iv.pressure jaman??? Ameomba mwenye pingamiz aweke hapa, weken basi tumshauri.
Mh! bado thread za maumivu zitaanza. Ni mchumba wako toka lini. Nakushauri kama huna zaidi ya 5yrs ya maangalio wala usioe. Utakuja niambia kama siyo kilio kabisa.

We jitumbukize kwenye moto.
 
Ivuga unavyojitetea??? PM bdo haija2mwa tu?? Au anasubir mpk shela inunuliwe ndo alete hlo pingamizi? Mambo gn ku2wekea bwna haruc mtarajiwa roho juu?

unafikiri nitaifungua sasa ivi 🙂🙂 watu wengine usiwabeep jamani mwe!!!
 
PHP:
mimi sina

Usijali wako yuko njiani anakujongelea.................................msubirie tu................................subira yavuta kheri...................
 
Back
Top Bottom