Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Mi nakuunga mkono rafiki, go for her....Wadau niungeni Mkono, mbona mnataka kunikatisha tamaa bana?
najitolea kuwa bodegadi wako, Mwigulu simwogopi wala nini
Mi nakuunga mkono rafiki, go for her....Wadau niungeni Mkono, mbona mnataka kunikatisha tamaa bana?
usifahau kucc kwangu, si bado una namba yangu shosti?Nakuja kwenye text ya phoneeeeeeeee......
nitakuunga mkono endapo utafanya juhudi za kumvalisha gwanda bibie
Shosti niombee nifanikiwe Bana... Au na wewe unanimezea mate nini ndiyo maana hutaki niendeleze nia yangu kwa my :A S-heart-2:Shonza![]()
Endelea kijifanya una tru lavu....
Mwana niko pamoja nawe ila utaniachia cku moko moko Nami Nionje tamu kama mwigu! Ila fikiria mara moja maana nackia pale ni magugu maji ukizama tope ukiibuka tope
Mkuu kuhusu self defence skills shaka ondoa
Rafiki nakumbuka ulivyonipiga Kibuti ulinishauri nitafute Kijana mwenzangu, remember?Mi nakuunga mkono rafiki, go for her....
najitolea kuwa bodegadi wako, Mwigulu simwogopi wala nini
Rafiki kumbe na wewe M'mbeya eeh?:A S 2152:usifahau kucc kwangu, si bado una namba yangu shosti?
usifahau kucc kwangu, si bado una namba yangu shosti?
nitakuunga mkono endapo utafanya juhudi za kumvalisha gwanda bibie