Natangaza nia Kwa Juliana Shonza.

nitakuunga mkono endapo utafanya juhudi za kumvalisha gwanda bibie

Mapenzi yangu hayafungamani na Upande wowote wa kisiasa, hata akiamua kuwa Mwenyekiti wa Magamba sina tatizo naye... alimradi awe mai waifu..



Endelea kijifanya una tru lavu....
Shosti niombee nifanikiwe Bana... Au na wewe unanimezea mate nini ndiyo maana hutaki niendeleze nia yangu kwa my :A S-heart-2:Shonza
ili uninase wewe? :nimekataa

Mwana niko pamoja nawe ila utaniachia cku moko moko Nami Nionje tamu kama mwigu! Ila fikiria mara moja maana nackia pale ni magugu maji ukizama tope ukiibuka tope

Mkuu tema mate chini, usimdhalilishe Kichuda wangu namna hiyo Arifu!!

If so, then go after her! But take care of your tooth and nails!


COPY: Juliana Shonza.
Mkuu kuhusu self defence skills shaka ondoa

Mi nakuunga mkono rafiki, go for her....
najitolea kuwa bodegadi wako, Mwigulu simwogopi wala nini
Rafiki nakumbuka ulivyonipiga Kibuti ulinishauri nitafute Kijana mwenzangu, remember?
Sasa uchaguzi wangu umeangukia kwa huyu Mrembo Shonza :A S-heart-2:... Ngoja niendelee kumsaka :car:
Nashukuru umejitolea kunipatia Ulinzi, I real appreciate:humble:

usifahau kucc kwangu, si bado una namba yangu shosti?
Rafiki kumbe na wewe M'mbeya eeh?:A S 2152:
 
TANMO akikubali muoane mwambie tutampa 50% ya hisa za jf udaku kampuni limitedi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…