Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm nichukue fomu ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama changu cha mapinduzi lakini fomu hii nitayochukua ni kwa ajili ya kumchukulia Dr.Samia Suluhu Hasani aweze kupeperusha bendera yetu ya chama cha mapinduzi.
Samia mitano tena.
Samia mitano tena.