ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
- #41
Heeeeeeeee jamani !!!
ladyfurahia nitakusuport ila under only one condition
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ladyfurahia nitakusuport ila under only one condition
Ndo keshakatazwa sasa.....haendelei mbele tena
Hii sasa kazi....tukuwa mmu tunaambiwa nendeni chitchat tukiwa chitchat tunaambiwa nendeni mmu. Ehee na wewe huu uzi wako kwa nini usipeleke siasani?
HAPA NDO AMEFIKA NA JEZI NSHAMPA NO 9 MGONGONI INAFANYA KAZI BILA MASHARTI YOYOTE KWANI MM NDO :A S crown-1: WAKE
HEHEHEHEHHEHEHEHEEEIYA HAPA NDO MWAKE BEST HUONI WATU WANAJIFAGILIA KUCHUKUA VYEO VYA UMENEJA KWENYE KAMPENI ZANGU NITAKAZOANZA HIVI MAPEMA KARIBUNI HUTAKI WANAWAKE TUSHIKE HATAMU KWANI WANAUME WAMESHINDWA KAZI YA KUONGOZA TANZANIA HIVYO TUNAONA WANAJI:A S-eek:
HEBU NIUNGE MKONO BESTITO ACHANA NA MAMBO YA MMU
Aaah bas nalegeza msimamo.....sitakupigia kampeni mbaya ila kura yangu sikupi
Fanya tu Siri....nangoja mgombea wa upande pinzani... ladyfurahia Sera zako ni zip?
Fanya tu Siri....nangoja mgombea wa upande pinzani... ladyfurahia Sera zako ni zip?
hiii sio idara ya kupeana maluv nendeni kule mmu sio kwenye kampeni zenu mnaingiza sera zenu hapa
:cool2:
Maluv ni popote bestito! Yani kujificha ni thambi! Tena km Mimi na Khantwe wangu, haki ya mama ata dada zangu wanajua tulivyoshikana!
Cc: mwallu miss neddy Honey Faith
sasa hapa sio idara yake nyie mnaona bandiko la kidiem pale juu linasemaje nyie mnaweka masisiem yenu hapa hebu pelekeni kule mmu hapa watu tunatangaza nia eboooooo!
safi mkuuNipo mkuu, habari ya wewe?
Ahaaa.....bas sawaa
basi endeleeani ila kwa mpangilio msizidishe kwani mtaharibu front page yangu
Aah usitupangie kipimo aisee
hahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii mbavu zangu mie
mkuu unaweza jaribu mwakani
hahahaNaona leo umeamua kufukua tu makaburi