Natangaza NIA

Natangaza NIA

HEHEHEHEHHEHEHEHEEEIYA HAPA NDO MWAKE BEST HUONI WATU WANAJIFAGILIA KUCHUKUA VYEO VYA UMENEJA KWENYE KAMPENI ZANGU NITAKAZOANZA HIVI MAPEMA KARIBUNI HUTAKI WANAWAKE TUSHIKE HATAMU KWANI WANAUME WAMESHINDWA KAZI YA KUONGOZA TANZANIA HIVYO TUNAONA WANAJI:A S-eek:

HEBU NIUNGE MKONO BESTITO ACHANA NA MAMBO YA MMU
Hii sasa kazi....tukuwa mmu tunaambiwa nendeni chitchat tukiwa chitchat tunaambiwa nendeni mmu. Ehee na wewe huu uzi wako kwa nini usipeleke siasani?
 
HEHEHEHEHHEHEHEHEEEIYA HAPA NDO MWAKE BEST HUONI WATU WANAJIFAGILIA KUCHUKUA VYEO VYA UMENEJA KWENYE KAMPENI ZANGU NITAKAZOANZA HIVI MAPEMA KARIBUNI HUTAKI WANAWAKE TUSHIKE HATAMU KWANI WANAUME WAMESHINDWA KAZI YA KUONGOZA TANZANIA HIVYO TUNAONA WANAJI:A S-eek:

HEBU NIUNGE MKONO BESTITO ACHANA NA MAMBO YA MMU

Aaah bas nalegeza msimamo.....sitakupigia kampeni mbaya ila kura yangu sikupi
 
sasa hapa sio idara yake nyie mnaona bandiko la kidiem pale juu linasemaje nyie mnaweka masisiem yenu hapa hebu pelekeni kule mmu hapa watu tunatangaza nia eboooooo!
Maluv ni popote bestito! Yani kujificha ni thambi! Tena km Mimi na Khantwe wangu, haki ya mama ata dada zangu wanajua tulivyoshikana!

Cc: mwallu miss neddy Honey Faith
 
Back
Top Bottom