Natangaza rasmi kuihama Yanga

Mkuu ni swali "ana ujanja"?
Nafikiri jibu unalo bila shaka.
 
Wacha uzushi.Zimamoto alimfunga Jamhuri goli 2-0 kwa hiyo Azam alishaingia nusu fainali. Ilikuwa wanatafuta mshindi wa kwanza na wa pili. Hamna njama wala ngonjera. Mmepigwa goli 4 kwa kuzidiwa kimpira. Kutafuta visingizio ni ujinga tu usiokuwa na mashiko. Mlicheza kwa matokeo ya mechi zilizopita na Azam wakawanyoosha.
 
Game sikubahatika kuiona kwa hiyo siwezi kutoa maoni yangu nini kilitokea kufungwa si jambo la ajabu timu yoyote inaweza kukufunga football ni mchezo wa makosa ili la hujuma bado nalitafakari lilikuwaje ! mwisho wa siku tukubali matokeo tujipange kwa mchezo ujao hao wapiga kelele tuwaache ila wanajua YANGA imara .
 
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
sioni tatizo mkuu,,kwanza tushapita nusu fainali,,pia hii siyo ligi kwamba point tatu hzo zitampeleka nafasi za juu kwenye ligi kuu
 
unahama timu kwa matokeo ya mapinduzi,,ingekua hayo matokeo yapo ligi kuu wengi tungeumia lakn siyo kuhama timu
 
Statistics za Yanga

First Half
Shot off Target 1
Shot on Target 0

Unaamini kweli kwa forward yenye magoli 8 ndani ya mechi mbili wanaweza kuwa na takwimu hizo ndani ya 45 minutes?

Second Half

Shot off Target 3
Shot on target 3

Hii clearly ni match fixing na nia ya Waandaji walitaka fainali aingie aingie Yanga na Azam
 
Wacha tusubiri Danny statistics kwa mechi za nyuma zilionyesha hivyo but kila mchezo unakuwa mpya kwani haitokei watu kuwa under performance ? kama nilivyosema game sikuiona ila hilo la match fixing naliona gumu kwa muono wangu siku hazifanani na duniani imeisha tokea mara nyingi sina uhakika na match fixing
 
unahama timu kwa matokeo ya mapinduzi,,ingekua hayo matokeo yapo ligi kuu wengi tungeumia lakn siyo kuhama timu
Pana haja ya kuongeza ubora wa mashabiki wetu na wapenzi kabla ya kuongeza kiwango cha mpira kama mtu anaweza kuhama timu kwa kombe hili najikuta nawathamini sana wapenzi wa arsenal na Liverpool kwa uvumilivu wao .
 
Karibu huku simba kwa wanaume.


Ingawa hata ungebaki yanga kwa hiyo sura yako ungeweza kuiweka popote isingeleta shida.... hiyo sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…