Natangaza rasmi kuihama Yanga

Natangaza rasmi kuihama Yanga

Mkuu ni swali "ana ujanja"?
Nafikiri jibu unalo bila shaka.
 
Mimi Yanga damu na kwa hiki walichofanya Yanga kimenikera sana. Kila group zinatakiwa ziende timu mbili. Na hali ya azam ilikuwa mbaya sana kama angefungwa na Yanga sababu alikuwa atoke. Kama zimamoto angeshinda mechi yake.

Hivyo Hawa wehu wameamua kuipa Azam matokeo tena ya goli nyingi ilikuiweka katika nafasi ya kutinga nusu fainali.

Waandaji malengo yao ilikuwa ni kundi la kwanza simba na URA zipite na kundi jingine Yanga na Azam zipite. Ila kwa azam kwa kuwa na timu mbovu malengo yao yalikuwa yasitimie hivyo wakaamua kufanya match fixing.

Ni kitendo cha kukera sana na inatakiwa kikemewe kwa Nguvu zote. Naipenda Yanga ila kwa hili wametudhalilisha sana.

CC: Guasa Amboni , nasmapesa , Balantanda na wengineo
Wacha uzushi.Zimamoto alimfunga Jamhuri goli 2-0 kwa hiyo Azam alishaingia nusu fainali. Ilikuwa wanatafuta mshindi wa kwanza na wa pili. Hamna njama wala ngonjera. Mmepigwa goli 4 kwa kuzidiwa kimpira. Kutafuta visingizio ni ujinga tu usiokuwa na mashiko. Mlicheza kwa matokeo ya mechi zilizopita na Azam wakawanyoosha.
 
Mimi Yanga damu na kwa hiki walichofanya Yanga kimenikera sana. Kila group zinatakiwa ziende timu mbili. Na hali ya azam ilikuwa mbaya sana kama angefungwa na Yanga sababu alikuwa atoke. Kama zimamoto angeshinda mechi yake.

Hivyo Hawa wehu wameamua kuipa Azam matokeo tena ya goli nyingi ilikuiweka katika nafasi ya kutinga nusu fainali.

Waandaji malengo yao ilikuwa ni kundi la kwanza simba na URA zipite na kundi jingine Yanga na Azam zipite. Ila kwa azam kwa kuwa na timu mbovu malengo yao yalikuwa yasitimie hivyo wakaamua kufanya match fixing.

Ni kitendo cha kukera sana na inatakiwa kikemewe kwa Nguvu zote. Naipenda Yanga ila kwa hili wametudhalilisha sana.

CC: Guasa Amboni , nasmapesa , Balantanda na wengineo
Game sikubahatika kuiona kwa hiyo siwezi kutoa maoni yangu nini kilitokea kufungwa si jambo la ajabu timu yoyote inaweza kukufunga football ni mchezo wa makosa ili la hujuma bado nalitafakari lilikuwaje ! mwisho wa siku tukubali matokeo tujipange kwa mchezo ujao hao wapiga kelele tuwaache ila wanajua YANGA imara .
 
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
sioni tatizo mkuu,,kwanza tushapita nusu fainali,,pia hii siyo ligi kwamba point tatu hzo zitampeleka nafasi za juu kwenye ligi kuu
 
unahama timu kwa matokeo ya mapinduzi,,ingekua hayo matokeo yapo ligi kuu wengi tungeumia lakn siyo kuhama timu
 
Game sikubahatika kuiona kwa hiyo siwezi kutoa maoni yangu nini kilitokea kufungwa si jambo la ajabu timu yoyote inaweza kukufunga football ni mchezo wa makosa ili la hujuma bado nalitafakari lilikuwaje ! mwisho wa siku tukubali matokeo tujipange kwa mchezo ujao hao wapiga kelele tuwaache ila wanajua YANGA imara .
Statistics za Yanga

First Half
Shot off Target 1
Shot on Target 0

Unaamini kweli kwa forward yenye magoli 8 ndani ya mechi mbili wanaweza kuwa na takwimu hizo ndani ya 45 minutes?

Second Half

Shot off Target 3
Shot on target 3

Hii clearly ni match fixing na nia ya Waandaji walitaka fainali aingie aingie Yanga na Azam
 
Wacha tusubiri Danny statistics kwa mechi za nyuma zilionyesha hivyo but kila mchezo unakuwa mpya kwani haitokei watu kuwa under performance ? kama nilivyosema game sikuiona ila hilo la match fixing naliona gumu kwa muono wangu siku hazifanani na duniani imeisha tokea mara nyingi sina uhakika na match fixing
 
88e5e58b5f6c9ab060706839d1fd39d4.jpg
 
unahama timu kwa matokeo ya mapinduzi,,ingekua hayo matokeo yapo ligi kuu wengi tungeumia lakn siyo kuhama timu
Pana haja ya kuongeza ubora wa mashabiki wetu na wapenzi kabla ya kuongeza kiwango cha mpira kama mtu anaweza kuhama timu kwa kombe hili najikuta nawathamini sana wapenzi wa arsenal na Liverpool kwa uvumilivu wao .
 
Karibu huku simba kwa wanaume.

Ingawa hata ungebaki yanga kwa hiyo sura yako ungeweza kuiweka popote isingeleta shida.... hiyo sura
 
Back
Top Bottom