Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Ukiliwa baada ya kukamatwa ugoni au ukiliwa kwa kukubali mwenyewe umeliwa tu.Na Azam atamfunga Yanga mapinduzu tu na si Ligi kuu
Sio mimi Mkuu. Kuna jinga la Mikia ndio lilikuwa linapost huo utumbo. Baadhi nishazifuta. Unajua aliomba laptop na nilikuwa nimecheck keep sign in. Kanikera sana. Hapa ashapata adhabu ambayo hatokuja kuisahau maishani mwakewewe bure kabisa
Sasa kama unajua matokeo hayo siyo mageni, nini sasa kinakuwasha?Akili zimewarudia bado mtaleta sahali tu.Iliponyesha mvua waungwana wameshajua panapovuja. Hizo zingine ni kelele tu za debe tupu.4 G imefanya wengi wenye viburi wawe na heshima kama mwali aliyepo unyagoni akisimamiwa na manyakanga. Leo tutapewa kila mifano ya timu kufungwa. Mifano hiyo imeanza leo?Haikuwepo kabla ya mechi ya ARBA?
Bwihi.!Januari 7 2012 Azam 3 Yanga 0
Januari 7 2017 Azam 4 Yanga 0
Mbona imeanza kuwa tabia kwenye kombe la Mapinduzi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Binti galatia na kademu Demigod bado wanaongezewa dripu. Koni 4 sio machezo.
Mbona m100 za Azam TV amtukumbushi kuzichukua..... LibolooYanga njooni mchukue juice zenu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bwihi.!
January 7. 2018 Azam 5 Yanga 0 huenda ikawa hivyo maana sielewi hesabu zao ati..!
Shabiki luhara huyoTangu lini ulikuwa yanga
Mshabiki wa timu huwa ahami timu kwa kufungwa