Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Naomba unikwapue namimi....[emoji39] [emoji39]Wakwapuzi wa mali hizo hatujitangazi....ni mwendo wa kimya kimya tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unikwapue namimi....[emoji39] [emoji39]Wakwapuzi wa mali hizo hatujitangazi....ni mwendo wa kimya kimya tu!
tehteehhh......Fisi Kala Fisi
Sawa kiongozitehteehhh......
Ebu turudi kwenye mada mkuu, maana upepo umeanza kugeuka
Utaweza kuacha kuvaa wigi?Naomba unikwapue namimi....[emoji39] [emoji39]
Sasa unataka tumwage mchele kwenye kuku wengiTunayajenga humu humu..
Sawa...ila vigezo beb wa maandishi
Aliyeiwahi ni nani tena uyo? Nyapu ya bure uwa tamu sanaNyapu ya maandishi hahaha...
Live imewahiwa ujue
Na Wewe Huna bebyii Eti??Ebungoja nikuwe msomaji tu hapa, maana sijioni kwenye kujitosha kwa shoe ya babes
Babe wangu ni wewe, sema nilipenda kuifanya iwe siri.... [emoji2] [emoji2]Na Wewe Huna bebyii Eti??
Nifanye beb wa ukweli bwana wa maandishi sio poa ujueNdio...sababu ni beb wa maandishi