Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Fact smart I always tell you.. naile juzi si uliona hata wale walisalute???? khakhakhaaaaaaa..

Leo mapema sana natia timu... chochote wewe nifanye tu yani CHOCHOTE kile .. am here just for uuuuuu handsome ! wewe teiiiiinaaaaaaaaa!! sema Kingine

Daah hapana... ile juzi uliyataka mwenyewe lakini... mimi nimetulia zangu, wewe ukaenda kuni introduce kwa rafiki zako, kumbe nao wanauchu... hahaha...
 
Wakuu,

Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...

Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!

Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.

Hasa wewe Smart @Mahondow Demiss Mshana Jr mnaringa sana.

Ngoja niangalie nani nimwibie ili kelele zenu ziishe ha ha haaa...

Nasema hivii...sijui nimuibie Daby au ngoja nimuibie Shunie..

Bado nipo nawaza hapa nimchukue wa nani...ila kama kuna ambae hana beb humu ajiunge nami tukwapue hahahaa...

Akili za asubuhi za kiporo na chai[emoji3] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom