Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni mimi huyo aisee kwahiyo nimeambiwa nichague kati ya London au New York niende wapi? Ila mimi akili yangu ipo ipo London kwasababu nimesomea kule degree yangu ya kwanza kwahiyo kuna marafiki wengi sana kama Elizabeth Hudson na wengi wengi
Kuhusu siti ya ndege nimekatiwa economy class si unajua sie watu wenye akili na mipesa mingi ndiyo site zetu hizo? Kwahiyo wazee nawaageni muda wowote nitakuwa hewani juu mawinguni# London i' m coming#