Nataraji kwenda nje ya nchi kwa mapumziko kidogo, nimechagua kwenda London

Nataraji kwenda nje ya nchi kwa mapumziko kidogo, nimechagua kwenda London

Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni mimi huyo aisee kwahiyo nimeambiwa nichague kati ya London au New York niende wapi? Ila mimi akili yangu ipo ipo London kwasababu nimesomea kule degree yangu ya kwanza kwahiyo kuna marafiki wengi sana kama Elizabeth Hudson na wengi wengi

Kuhusu siti ya ndege nimekatiwa economy class si unajua sie watu wenye akili na mipesa mingi ndiyo site zetu hizo? Kwahiyo wazee nawaageni muda wowote nitakuwa hewani juu mawinguni# London i' m coming#
Hay wake up, that is bad nightmare, it's likely to destroy your Brain,[emoji24][emoji1787][emoji1787]First of all, London siyo Nchi,pili anza Kwanza kupafahamu hata dar tu then njoo huku Zimbabwe ndiyo uanze kufikiria hizo
 
Try to release those things in your head
1673947880590.jpg
 
Hay wake up, that is bad nightmare, it's likely to destroy your Brain,[emoji24][emoji1787][emoji1787]First of all, London siyo Nchi,pili anza Kwanza kupafahamu hata dar tu then njoo huku Zimbabwe ndiyo uanze kufikiria hizo
Wapi nimesema London ni nchi?
 
Siku hizi huwa hawaweki kikombe..wanaweka mtu kabisa na kapu lake anavuna.
 
Washamba wengi sana humu mmesoma kozi ya ku type basi tu thread mnafungua zisizo hata na maana.
England na New York wenzio tunaenda kunywa chai na kurudi daily.
So kaa utulize akili kidogo we mbwiga
 
Ww ulisema umesoma hpa tz baada ya kumaliza ukapigwa kitumbo na mwalimu na mwalimu kuozea jela

Kma huna cha kuongea ni bora ukanyamaza tuu
 
Back
Top Bottom