Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha
Elineema shayo alinikuta mie ni mfanyakazi wa benki moja kimataifa humu nchini,kiukweli kuhusu ukwasi Nina ukwasi hasa kwanza namiliki bmw 3, ranger rover 2 na harrier tako la nyani 3 na naishi kwenye apartment upanga nalipia 3 milioni kwa mwezi na pia namiliki biashara kadha wa kadha london, Nairobi, Kiev, Tehran,a Texas na majiji kadha wa kadha so wakuu nawakalibisha kwenye harusi yangu