Natarajia kumuoa mke wangu Elineema Shayo

Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha

Elineema shayo alinikuta mie ni mfanyakazi wa benki moja kimataifa humu nchini,kiukweli kuhusu ukwasi Nina ukwasi hasa kwanza namiliki bmw 3, ranger rover 2 na harrier tako la nyani 3 na naishi kwenye apartment upanga nalipia 3 milioni kwa mwezi na pia namiliki biashara kadha wa kadha london, Nairobi, Kiev, Tehran,a Texas na majiji kadha wa kadha so wakuu nawakalibisha kwenye harusi yangu
Et Kyiv,,,,nimecheka.
 
Harrier tako la nyani unamiliki kwani ndio unaanza maisha? Magari ya watoto wanaoanza maisha. Ukute huna hela hata ya kushonea ndala ikikatika
 
Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha

Elineema shayo alinikuta mie ni mfanyakazi wa benki moja kimataifa humu nchini,kiukweli kuhusu ukwasi Nina ukwasi hasa kwanza namiliki bmw 3, ranger rover 2 na harrier tako la nyani 3 na naishi kwenye apartment upanga nalipia 3 milioni kwa mwezi na pia namiliki biashara kadha wa kadha london, Nairobi, Kiev, Tehran,a Texas na majiji kadha wa kadha so wakuu nawakalibisha kwenye harusi yangu
Umekula?
 
Man down
 
Unamiliki biashara zote hizo na bado umepanga apartment ya 3ml aisee hama haraka hapo
 
Sijui anandeleaje huko alipo.
Hizi showoff za mapenzi kujiona umepatia sana kupenda lazima zilete maumivu baadae.
Jamani kuna haha ya kiwafucha wapenzi wahuni sio watu wazuri mhe nae alijisahau ahaaa na ule urefu wake thathaa
 
Back
Top Bottom