Natarajia kumuoa mke wangu Elineema Shayo

Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha

Elineema shayo alinikuta mie ni mfanyakazi wa benki moja kimataifa humu nchini,kiukweli kuhusu ukwasi Nina ukwasi hasa kwanza namiliki bmw 3, ranger rover 2 na harrier tako la nyani 3 na naishi kwenye apartment upanga nalipia 3 milioni kwa mwezi na pia namiliki biashara kadha wa kadha london, Nairobi, Kiev, Tehran,a Texas na majiji kadha wa kadha so wakuu nawakalibisha kwenye harusi yangu

  • Sir name Shayo.
  • Mtoto wa Kibopa.
  • Elimu ya juu
  • Single Mama
Kaa na Bag kila wakati, kuondoka baada ya kumpa mimba ni mda wowote.
 
Attachments

  • tapatalk_1486848583856.jpeg
    tapatalk_1486848583856.jpeg
    17.2 KB · Views: 3
Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha

Elineema shayo alinikuta mie ni mfanyakazi wa benki moja kimataifa humu nchini,kiukweli kuhusu ukwasi Nina ukwasi hasa kwanza namiliki bmw 3, ranger rover 2 na harrier tako la nyani 3 na naishi kwenye apartment upanga nalipia 3 milioni kwa mwezi na pia namiliki biashara kadha wa kadha london, Nairobi, Kiev, Tehran,a Texas na majiji kadha wa kadha so wakuu nawakalibisha kwenye harusi yangu
Sawa wewe ni mwanaume au mwanamke? Wewe itakuwa ni upinde maana kuna sehemu unesema unataka mume akuoe
 
Kuna sehem nlisoma unatafuta mume,dadek yaani ulitaka pigwa miti au jipigia mafala?
 
Mtoa mada bado ni dogo akili zake bado hazijajikusanya vizuri,tumuache akue kwanza
 
Back
Top Bottom