Natarajia kwenda Mikumi National Park kutalii

Merchante

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Posts
1,476
Reaction score
3,063
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park.

Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku mbili kwa mtu mmoja.
NB: Mtu mmoja tu kwasababu nakwenda peke yangu.
 
Viingilio kwa raia wa Afrika mashariki wenye Miaka 16 na kuendelea ni Tsh 5,900/=
Kwa wenye miaka 5 hadi 15 ni Tsh 2,360/= ambayo Tsh 2,360 ni gharama pia ya wanafunzi wote hadi kidato cha sita

Gharama za kiongozi wa wageni kama ukitumia gari lako binafsi (tour guide) unaelewana naye ambayo huwa haizidi Tsh 30,000/= kwa siku na analipiwa kiingilio tsh 5,900/=

Gharama za magari ambayo ni binafsi mkija nayo hulipiwa viingilio kulingana na uzito ambapo ni kama ifuatavyo:-

0kg hadi 2000kg Ni Tsh 23,600/=

2001kg hadi 3000kg ni Tsh 41,300/=

3001kghadi 7000kg ni Tsh 70,800/=

7001kg na kuendelea ni Tsh 177,000/=

Kwa chakula tuna Hotel ambayo huwa inauza Chakula kwa Buffet ambayo huwa ni Tsh 20,000/= kwa sahani.Pia tuna maeneo ya Picnic ambayo mtu anaweza akatumia Chakula chake kilichofungwa.

Upande wa malazi kwanza kabisa tuna Hostel ambayo gharama yake ni Tsh 5,900/= kwa kila mtu

Pia tuna Hotel zetu nzuri kabisa ambapo tuna guest house ambazo zinauzwa kwa Mtu mmoja kwa Sh 23,600/= na kwa watu wawili ni Sh 35,400/=

Standard cottage ambapo kwa mtu mmoja ni Tsh 35,400/= na kwa watu wawili ni Tsh 47,200/=

pia tuna Executive Cottage ambapo hiki ni chumba kikubwa chenye vitanda viwili na kwa mtu mmoja ni Tsh 59,000/= na kwa watu wawili ni Tsh 88,500/=

Malipo yote ni kwa mitandao ya Simu au kadi za benki ( Visa card au Master Card) Cash haipokelewi isipokuwa sehemu ya chakula tuu ndio Cash inapokelewa

Vinahitajika pia vitambulisho vitakavyokuwa vinaonyesha uraia wa mtu kimojawapo kati ya vifuatavyo:-

-kitambulisho cha taifa
-kitambulisho cha kupiga kura
-bima ya Afya NHIF
-pasi ya kusafiria
-Au namba ya NIDA

NB : Magari ya kukodi kwa ajili ya Utalii ni ya makampuni binafsi ya utalii ambayo wanakodisha kwa tsh 300,000/= hadi 350,000/=

Karibu Sana
 
Panda gari ya Iringa, shuka Mikumi,gari la safari ni laki 300,000 hata mkiwa watu 8 gharama hiyo hiyo, getini waweza lipa kwa visa ela ndogo tu
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,niko Morogoro kwa sasa natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park. Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku mbili kwa mtu mmoja.
NB: Mtu mmoja tu kwasababu nakwenda peke yangu.
Una usafiri wako au
 
Umedadavua vizuri
Viingilio kwa raia wa Afrika mashariki wenye Miaka 16 na kuendelea ni Tsh 5,900/=
Kwa wenye miaka 5 hadi 15 ni Tsh 2,360/= ambayo Tsh 2,360 ni gharama pia ya wanafunzi wote hadi kidato cha sita

Gharama za kiongozi wa wageni kama ukitumia gari lako binafsi (tour guide) unaelewana naye ambayo huwa haizidi Tsh 30,000/= kwa siku na analipiwa kiingilio tsh 5,900/=

Gharama za magari ambayo ni binafsi mkija nayo hulipiwa viingilio kulingana na uzito ambapo ni kama ifuatavyo:-

0kg hadi 2000kg Ni Tsh 23,600/=

2001kg hadi 3000kg ni Tsh 41,300/=

3001kghadi 7000kg ni Tsh 70,800/=

7001kg na kuendelea ni Tsh 177,000/=

Kwa chakula tuna Hotel ambayo huwa inauza Chakula kwa Buffet ambayo huwa ni Tsh 20,000/= kwa sahani.Pia tuna maeneo ya Picnic ambayo mtu anaweza akatumia Chakula chake kilichofungwa.

Upande wa malazi kwanza kabisa tuna Hostel ambayo gharama yake ni Tsh 5,900/= kwa kila mtu

Pia tuna Hotel zetu nzuri kabisa ambapo tuna guest house ambazo zinauzwa kwa Mtu mmoja kwa Sh 23,600/= na kwa watu wawili ni Sh 35,400/=

Standard cottage ambapo kwa mtu mmoja ni Tsh 35,400/= na kwa watu wawili ni Tsh 47,200/=

pia tuna Executive Cottage ambapo hiki ni chumba kikubwa chenye vitanda viwili na kwa mtu mmoja ni Tsh 59,000/= na kwa watu wawili ni Tsh 88,500/=

Malipo yote ni kwa mitandao ya Simu au kadi za benki ( Visa card au Master Card) Cash haipokelewi isipokuwa sehemu ya chakula tuu ndio Cash inapokelewa

Vinahitajika pia vitambulisho vitakavyokuwa vinaonyesha uraia wa mtu kimojawapo kati ya vifuatavyo:-

-kitambulisho cha taifa
-kitambulisho cha kupiga kura
-bima ya Afya NHIF
-pasi ya kusafiria
-Au namba ya NIDA

NB : Magari ya kukodi kwa ajili ya Utalii ni ya makampuni binafsi ya utalii ambayo wanakodisha kwa tsh 300,000/= hadi 350,000/=

Karibu Sana
 
Viingilio kwa raia wa Afrika mashariki wenye Miaka 16 na kuendelea ni Tsh 5,900/=
Kwa wenye miaka 5 hadi 15 ni Tsh 2,360/= ambayo Tsh 2,360 ni gharama pia ya wanafunzi wote hadi kidato cha sita

Gharama za kiongozi wa wageni kama ukitumia gari lako binafsi (tour guide) unaelewana naye ambayo huwa haizidi Tsh 30,000/= kwa siku na analipiwa kiingilio tsh 5,900/=

Gharama za magari ambayo ni binafsi mkija nayo hulipiwa viingilio kulingana na uzito ambapo ni kama ifuatavyo:-

0kg hadi 2000kg Ni Tsh 23,600/=

2001kg hadi 3000kg ni Tsh 41,300/=

3001kghadi 7000kg ni Tsh 70,800/=

7001kg na kuendelea ni Tsh 177,000/=

Kwa chakula tuna Hotel ambayo huwa inauza Chakula kwa Buffet ambayo huwa ni Tsh 20,000/= kwa sahani.Pia tuna maeneo ya Picnic ambayo mtu anaweza akatumia Chakula chake kilichofungwa.

Upande wa malazi kwanza kabisa tuna Hostel ambayo gharama yake ni Tsh 5,900/= kwa kila mtu

Pia tuna Hotel zetu nzuri kabisa ambapo tuna guest house ambazo zinauzwa kwa Mtu mmoja kwa Sh 23,600/= na kwa watu wawili ni Sh 35,400/=

Standard cottage ambapo kwa mtu mmoja ni Tsh 35,400/= na kwa watu wawili ni Tsh 47,200/=

pia tuna Executive Cottage ambapo hiki ni chumba kikubwa chenye vitanda viwili na kwa mtu mmoja ni Tsh 59,000/= na kwa watu wawili ni Tsh 88,500/=

Malipo yote ni kwa mitandao ya Simu au kadi za benki ( Visa card au Master Card) Cash haipokelewi isipokuwa sehemu ya chakula tuu ndio Cash inapokelewa

Vinahitajika pia vitambulisho vitakavyokuwa vinaonyesha uraia wa mtu kimojawapo kati ya vifuatavyo:-

-kitambulisho cha taifa
-kitambulisho cha kupiga kura
-bima ya Afya NHIF
-pasi ya kusafiria
-Au namba ya NIDA

NB : Magari ya kukodi kwa ajili ya Utalii ni ya makampuni binafsi ya utalii ambayo wanakodisha kwa tsh 300,000/= hadi 350,000/=

Karibu Sana
Hostel maana yake nini
 
Shukrani sana ndugu kwa ufafanuzi wako. Je,gari kama Mazda Attenza inahimili mikiki mikiki ya mbugani? Au si gari nzuri kwa zoezi hilo? Hapa ushauri wako ni wa muhimu zaidi.
 
Panda gari ya Iringa, shuka Mikumi,gari la safari ni laki 300,000 hata mkiwa watu 8 gharama hiyo hiyo, getini waweza lipa kwa visa ela ndogo.
Shukrani sana Mkuu,nikifika hapo getini naweza kupata wadau wa kuingia nao,hapa namaanisha katika kubalance issue nzima ya usafiri. Au ndio niwapate huku huku Morogoro town kwanza?
 
Viingilio kwa raia wa Afrika mashariki wenye Miaka 16 na kuendelea ni Tsh 5,900/=
Kwa wenye miaka 5 hadi 15 ni Tsh 2,360/= ambayo Tsh 2,360 ni gharama pia ya wanafunzi wote hadi kidato cha sita

Gharama za kiongozi wa wageni kama ukitumia gari lako binafsi (tour guide) unaelewana naye ambayo huwa haizidi Tsh 30,000/= kwa siku na analipiwa kiingilio tsh 5,900/=

Gharama za magari ambayo ni binafsi mkija nayo hulipiwa viingilio kulingana na uzito ambapo ni kama ifuatavyo:-

0kg hadi 2000kg Ni Tsh 23,600/=

2001kg hadi 3000kg ni Tsh 41,300/=

3001kghadi 7000kg ni Tsh 70,800/=

7001kg na kuendelea ni Tsh 177,000/=

Kwa chakula tuna Hotel ambayo huwa inauza Chakula kwa Buffet ambayo huwa ni Tsh 20,000/= kwa sahani.Pia tuna maeneo ya Picnic ambayo mtu anaweza akatumia Chakula chake kilichofungwa.

Upande wa malazi kwanza kabisa tuna Hostel ambayo gharama yake ni Tsh 5,900/= kwa kila mtu

Pia tuna Hotel zetu nzuri kabisa ambapo tuna guest house ambazo zinauzwa kwa Mtu mmoja kwa Sh 23,600/= na kwa watu wawili ni Sh 35,400/=

Standard cottage ambapo kwa mtu mmoja ni Tsh 35,400/= na kwa watu wawili ni Tsh 47,200/=

pia tuna Executive Cottage ambapo hiki ni chumba kikubwa chenye vitanda viwili na kwa mtu mmoja ni Tsh 59,000/= na kwa watu wawili ni Tsh 88,500/=

Malipo yote ni kwa mitandao ya Simu au kadi za benki ( Visa card au Master Card) Cash haipokelewi isipokuwa sehemu ya chakula tuu ndio Cash inapokelewa

Vinahitajika pia vitambulisho vitakavyokuwa vinaonyesha uraia wa mtu kimojawapo kati ya vifuatavyo:-

-kitambulisho cha taifa
-kitambulisho cha kupiga kura
-bima ya Afya NHIF
-pasi ya kusafiria
-Au namba ya NIDA

NB : Magari ya kukodi kwa ajili ya Utalii ni ya makampuni binafsi ya utalii ambayo wanakodisha kwa tsh 300,000/= hadi 350,000/=

Karibu Sana
Aisee inabidi wakuongeze mshahara umekaba kila kona umeelezea kiutaalamu hakuna kuyumba kudos aside😄👏👏👏🐶
 
Back
Top Bottom