uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Shukrani sana Mkuu,nikifika hapo getini naweza kupata wadau wa kuingia nao,hapa namaanisha katika kubalance issue nzima ya usafiri. Au ndio niwapate huku huku Morogoro town kwanza?
Sio rahisi
Shukrani sana Mkuu,nikifika hapo getini naweza kupata wadau wa kuingia nao,hapa namaanisha katika kubalance issue nzima ya usafiri. Au ndio niwapate huku huku Morogoro town kwanza?
Gari Zote zinauwezo wa kupita barabara za mbugani bila tatizo.Shukrani sana ndugu kwa ufafanuzi wako. Je,gari kama Mazda Attenza inahimili mikiki mikiki ya mbugani? Au si gari nzuri kwa zoezi hilo? Hapa ushauri wako ni wa muhimu zaidi.
The bumpSwali la msingi kabisa.
Kama uwezo unao wakupanda gari 1 uzurule nalo ni sawa mkuu.Ina maana hiyo 300k na yupo mwenyw atatoa au atapitia kwa kampuni ya kitalii ??
Shukrani sana mkuuKama uwezo unao wakupanda gari 1 uzurule nalo ni sawa mkuu.
Ila kama ni umeenda mwenyewe unataka okoa gharama, utajiunga na wenzako kuptia kampuni za utaliii walizoenda na watu utalipia utaungana nao.
Utalipia Gharama mbili :
1.Mtu anaewazungusha
2.Usafiri Kuzunguka Mbugani
No.2 hapo ni wewe sasa utachagua ujieke wapi kuna watu wa Luxury na Kawaida sasa usije paramia waliokuja Kiboss watakunyoosha..
Kuwa mpole tafuta walala hoi wenzetu wapo kibao wamekuja utawaona, maelezo zaidi Uliza Wenyeji utaowaona.
Ukiwa peke ako Uta enjoy sana, gharama ni ndogo mno.