Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Yaani life isnt fair kabisa, tuendelee tu kutafuta vibarua mpendwa. Tusikate tamaa.
[emoji38][emoji38][emoji38] hapa napigwa za mbavu kimya kimya Nakwambia kibarua kwangu kipo unasema Tuendelee kusaka[emoji26][emoji26]
Wacha Niendelee tu kugive Up [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kazana sana..hakuna aliyezaliwa anajua.
Nilicheka ulivyosema chakula utakachopika hakuna anayeweza kula labda wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38] hapa napigwa za mbavu kimya kimya Nakwambia kibarua kwangu kipo unasema Tuendelee kusaka[emoji26][emoji26]
Wacha Niendelee tu kugive Up [emoji124][emoji124][emoji124]
We si uliniambia nawe wasaka kibarua jamani? Umepata saa ngapi hadi ukawa na kibarua cha kugawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…