Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] pampula uko vizuri.Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]View attachment 1417328
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] pampula uko vizuri.Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]View attachment 1417328
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ndio mgeni? Hata kumkaribisha dada yako!! Mekununia[emoji57]Ndiyo nakaribia, hivi kwanza hata upo Moshi kweli au upo Dar maana mie nimeropoka tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mjipange kweli kweliSafiii..pia mambo kama kuchange diper za watoto ni muhimu kujifunza pia, ipo siku unaamaka unakuta umeachiwa mtoto ndani mama mtu kaenda kwingine
@jael
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo huwa patamu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safiii..pia mambo kama kuchange diper za watoto ni muhimu kujifunza pia, ipo siku unaamaka unakuta umeachiwa mtoto ndani mama mtu kaenda kwingine
@jael
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweeeh!!
Bora mbakie hukohuko.Nipo dasilamu..nilitaka kwenda moshi ndugu wakakataa,,wamesema nataka kuwapelekea wazee corona[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kwahiyo unanisorola tu hapa ninavyojiropokesha kuwa niko mwika, teh basi niambie uko dar sehemu gani.Nipo dasilamu..nilitaka kwenda moshi ndugu wakakataa,,wamesema nataka kuwapelekea wazee corona[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] hapa napigwa za mbavu kimya kimya Nakwambia kibarua kwangu kipo unasema Tuendelee kusaka[emoji26][emoji26]Yaani life isnt fair kabisa, tuendelee tu kutafuta vibarua mpendwa. Tusikate tamaa.
Loh wanaume wa siku hizi mnajua kupika hadi siyo vizuri, wallahi na mimi ngoja nijifunze ili nikakuwe chef pale johari rotana wewe si umesema uko hyatt regency?Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]View attachment 1417328
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri mkuu.Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]View attachment 1417328
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazana sana..hakuna aliyezaliwa anajua.Unafikiri! Naandika kwa vile sijulikani kiuhalisiya ila kiukweli ni aibu sana.
Kupika ugali sijui, wali ukinipa jiko sijui labda msaada wa rice cooker...
Nisiende mbali sana ninachojua kupika ni kuchemsha mihogo, viazi vitamu na kuvikaanga. Kukaanga na kuchemsha mayai na kuyapika. Tambi za kupika.
Nipo training ya YouTube mapishi sasa hivi. Halafu napenda vyakula vizuri balaa..
We si uliniambia nawe wasaka kibarua jamani? Umepata saa ngapi hadi ukawa na kibarua cha kugawa?[emoji38][emoji38][emoji38] hapa napigwa za mbavu kimya kimya Nakwambia kibarua kwangu kipo unasema Tuendelee kusaka[emoji26][emoji26]
Wacha Niendelee tu kugive Up [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji85][emoji85] mwee na mimi nimekaribishwa tu dadaKumbe wewe ndio mgeni? Hata kumkaribisha dada yako!! Mekununia[emoji57]
Naomba Hata picha inayoonesha miguu ya mgeni..Siwezi kushinda hapa naishia kuona picha za vyakula tu.
Loh wanaume wa siku hizi mnajua kupika hadi siyo vizuri, wallahi na mimi ngoja nijifunze ili nikakuwe chef pale johari rotana wewe si umesema uko hyatt regency?