[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Loh wanaume wa siku hizi mnajua kupika hadi siyo vizuri, wallahi na mimi ngoja nijifunze ili nikakuwe chef pale johari rotana wewe si umesema uko hyatt regency?
Naomba Hata picha inayoonesha miguu ya mgeni..Siwezi kushinda hapa naishia kuona picha za vyakula tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello blazaUko vizuri mkuu.
Kwani kasema huyo mgeni hajakaribishwa?[emoji85][emoji85] mwee na mimi nimekaribishwa tu dada
Nakazia.Naomba Hata picha inayoonesha miguu ya mgeni..Siwezi kushinda hapa naishia kuona picha za vyakula tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kwahiyo unanisorola tu hapa ninavyojiropokesha kuwa niko mwika, teh basi niambie uko dar sehemu gani.
Kwa kweli tusubiri tu corona iishe
Kwani kasema huyo mgeni hajakaribishwa?
Ahsante.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka hiyo story yako ila mwanaume kutokujua kupika siyo aibu kiasi hicho kama unavyoelezea bhana tofauti na kwetu sisi wanawake, just take your time jifunze taratibu tu utajua.
Yeah Fred Uisso nampataNdio nipo hapo..ila nataka niache niende italy kuongeza ujuzi[emoji23], fred uisso ni mentor wangu kama unamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
G.A.S.T.O.R
Nappy tena!Safiii..pia mambo kama kuchange diper za watoto ni muhimu kujifunza pia, ipo siku unaamaka unakuta umeachiwa mtoto ndani mama mtu kaenda kwingine
@jael
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello sister DuHello blaza
[emoji57][emoji57][emoji57]Shikamoo
Hebu Fanya hivyo..Hahaha kavaa kikuku aisee ngoja nimshawishi akivue ndio nimtwange picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenzetu swala la kuosha vyombo huwa unalitatua vipi? Au kwako huwa si changamoto?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kwahiyo ndiyo unanishushuaKwani kasema huyo mgeni hajakaribishwa?
Ahsante.
Nina imani nitakuwa vizuri angalau. Ngoja nipambane.
Daah kumbe uko Goba ?? Nikajua Kimara maana huko ninyi ndiyo mmejazana !!