Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Wewe mwenzetu swala la kuosha vyombo huwa unalitatua vipi? Au kwako huwa si changamoto?
Hahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.

Hilo huwa linanifanya hata mimi nipike kwa umakini sana maana vikijazana tu naishiwa nguvu ghafla, ndiyo maana huwa sipendi kupika mboga nyingi.
 
Ni utoto tu.
Tuheshimu utu wa mtu, heshimu muda wake.
Sio lazima mfanye sex.
Ukimpokea mnapiga stori yanaisha.
Sio kila mwanamke anafaa kuliwa nawe
Kama umemkaribisha mwanamke wa jf sababu uliona tu profile picha yake nakushauri wakati wa kumpokea kama ni kituoni fika kabla yake ili akifika ujiridhishe kwanza package yote iko sawa au laa. Ukimuelekeza home moja kwa moja unaweza juta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si uliniambia nawe wasaka kibarua jamani? Umepata saa ngapi hadi ukawa na kibarua cha kugawa?
Ndio nasaka kibarua kweny mshamba ya watu baada ya kugive Up [emoji1787][emoji1787]. Nimeona nawe wasaka, Sasa si uje Tupeane kazi (tuajiriane) kuwa kibarua sio mchezo ujue [emoji38][emoji38][emoji38]
Tuajiriane bhana tupeane Mema ya nchi with caution Mana Mimi Mzee wa kuzama [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa wanaume hilo ni tatizo sana. Hicho kinafanyaga mara nyingi nisiwe napika kabisa hasa katikati ya week.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…