Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli ipo vizuri. Inasaidia sana na uzuri unawasiliana na mhusika moja kwa moja kwa kupitia comment.
Yeah, hata mimi ni kama wewe tu ila bado najifunza.Ahsante.
Nina imani nitakuwa vizuri angalau. Ngoja nipambane.
Wewe mwenzetu swala la kuosha vyombo huwa unalitatua vipi? Au kwako huwa si changamoto?
Mwee, vipi za kufufuka?Hello sister Du
Mbona me kila siku nipo humu nazurura.Mwee, vipi za kufufuka?
Sawa tuishie hapa.😀😀Ni tatizo naomba nisijibu hilo..uzi wote utakua hauna maana tena[emoji23][emoji23][emoji23] ila utakua ushaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.Wewe mwenzetu swala la kuosha vyombo huwa unalitatua vipi? Au kwako huwa si changamoto?
Kama umemkaribisha mwanamke wa jf sababu uliona tu profile picha yake nakushauri wakati wa kumpokea kama ni kituoni fika kabla yake ili akifika ujiridhishe kwanza package yote iko sawa au laa. Ukimuelekeza home moja kwa moja unaweza juta sana.
Ndio nasaka kibarua kweny mshamba ya watu baada ya kugive Up [emoji1787][emoji1787]. Nimeona nawe wasaka, Sasa si uje Tupeane kazi (tuajiriane) kuwa kibarua sio mchezo ujue [emoji38][emoji38][emoji38]We si uliniambia nawe wasaka kibarua jamani? Umepata saa ngapi hadi ukawa na kibarua cha kugawa?
Oohh basi nitakuja
Uko kijiwe gani hicho ??Mbona me kila siku nipo humu nazurura.
Kwa wanaume hilo ni tatizo sana. Hicho kinafanyaga mara nyingi nisiwe napika kabisa hasa katikati ya week.Hahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.
Hilo huwa linanifanya hata mimi nipike kwa umakini sana maana vikijazana tu naishiwa nguvu ghafla, ndiyo maana huwa sipendi kupika mboga nyingi.
Nipo majukwaani ila mara nyingi asubuhi na usiku.Uko kijiwe gani hicho ??
Teh teh, ni shughuli kwa kweli.Kwa wanaume hilo ni tatizo sana. Hicho kinafanyaga mara nyingi nisiwe napika kabisa hasa katikati ya week.
Oohh sawaNipo majukwaani ila mara nyingi asubuhi na usiku.
Naona wazee wa haki sawa wametua kwenye uzi rasmi!
Alikadhalika wazee wa chura pia.Naona wazee wa haki sawa wametua kwenye uzi rasmi!