Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Khaa yaani wewe hauna tofauti na mama yangu, kiasi kwamba siku akisema anaingia jikoni kutupikia tunamuambia hapana mama acha tu tutapika wenyewe maana tunajua shughuli yake baada ya hapo.Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]
Shida nini hadi mnatumia vyombo hivyo