Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Ujanja ni ukichafua unaosha ukimaliza kupika unabaki na vyombo vichache.
Ndo hivyo huwa nafanya, kuna dada jirani yangu huwa ananishangaa naishi mwenyewe ila nikiosha vyombo kama tumekula watu 6[emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule.
Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.
 
Mwanaume kumiliki ungo geto Ni umama[emoji38]

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmenichekesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule. Uzi unakimbia kama umefungiwa turbo engines
Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.
 
Zimefika Anko [emoji120][emoji120]
Uwe na Pasaka njema.
Kuna sehemu numbwene Heaven Sent, gumponiege...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pasaka njema kwako pia anko, Heaven Sent yupo ila kapotea yaani kuja kwake JF ni hadi umuite tena wakati unamtag usikosee hata spelling katika jina lake vinginevyo haoni comment yako. [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom